Kadamnasi
Member
- Feb 18, 2017
- 87
- 41
Umetisha!!!!!!Nilichimba hapo chini utafkiri nilikua nataka kupanda maharage.
Umetisha!!!!!!Nilichimba hapo chini utafkiri nilikua nataka kupanda maharage.
Nilienda kuripot policeNdo ukamkubalia au mkaixhiana
Hahaaaa bahati mbaya nilikua nimenyoa maana ningetoka hapo na dreadShimo lilivyokuwa refu nahisi ukahamia kwenye nywele hahaha
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Hahaaaa bahati mbaya nilikua nimenyoa maana ningetoka hapo na dread
Kumbe yule demu babaake ni mkuu wa kituoIkawaje baada ya kuripot polis
Ulibakwa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nilibakwa baada ya kumkatalia
Pole sana mkuuJasho lilinitoka, kutetemeka nikawa nazungusha mada binti akawa mjanja akanibana niseme nilichomuitia, Moyo ulikuwa unadunda nahisi angetokea mtu anishitue pale ningekufa kabisa,
Bahati nzuri alikubali sound zangu japo zilikuwa za kibwege