Nimesubscribe hili swali mkuu akikujibu nitapata notification!!Huna ndoa unawezaje kuchepuka?!!Hivi hata ukiwa bado hujaingia kwenye ndoa bado unaweza kuchepuka?
We umeshawahi kula nyama ya mtu?Kuchepuka ni kama kula nyama ya mtu,ukishaonja mara moja huwezi kuacha!!
Wa hivi huwa Wanakwepesa kwepesaHabari wanajamvi
Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.
Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"
Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake
Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
We nawewe Mushi wa wapi usiyeelewa lugha ya mifano?!wa Kishumundu nini?!!We umeshawahi kula nyama ya mtu?
Ila ulinipa hasira sana siku ile, nakupiga kimoja halafu unakimbia... sasa kwa taarifa yako ile hela uliyonirudishia nilienda kuchukua voda fasta mpaka kukakucha...Habari wanajamvi
Hiki kisa kimewahi kunikuta kwenye maisha yangu,siku ya kwanza nachepuka nililia machozi.
Ilikuwa hivi,kipindi hicho nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja niliyekuwa nimempenda sana,lakin kuna kaka mwingine alinilaghai kwa maneno na vipesa nikajikuta nimemkubalia
Siku naenda na huyu mpenzi mpya faragha tukiwa sita kwa sita,baada ya round ya kwanza kumalizika,SMS ilingia kwenye sim yangu,kuangalia alikuwa mpenzi wangu "baby wangu uko wapi"
Ghafla nilishikwa na kitu Fulani kilichoniingia mwilini,nikahisi kutomtendea haki mpenzi wangu,nikaanza kububujikwa na machozi,jamaa akawa ananiuliza kulikoni,nikamwambia naumwa,ila hakuona wakati nasoma ile SMS alikuwa bafuni
Nililia nikaamka nikavaa nguo,nikachukua mkoba wangu na kuondoka,hela alizokuwa amenipa nikamrushia.Tangia siku hiyo sikurudiana na huyo mkaka,SMS zake sikumjibu,wala kupokea sim yake
Je wewe imewahi kukuta hali hiyo?
Hahahaa nakutania mkuu, nikiwa chuo kuna Dr alikuwa anatufundisha akatuambia 'Huyo Nyerere anasema mtu ukila nyama ya mtu huwez kuacha ina maana yeye alishajaribu kula hiyo nyama ya mtu?'We nawewe Mushi wa wapi usiyeelewa lugha ya mifano?!wa Kishumundu nini?!!
Ningelia tu,maana ningemkumbuka baadae
Halaf we mwanaume gani sijui,mfyuuu natukanwa humu hata kupiga watu huweziii halaf nikupendeeWee ni mdada wa kijijini.
Kwani ukiwa na mpenzi,huyo si ndo mtu wako,ina maana ikitokea ukawa na mtu mwingine hapo utakuwa umemsaliti it means umechepukaaa,au unamaanisha mpaka ndoa ndo kuchepukaa?Nimesubscribe hili swali mkuu akikujibu nitapata notification!!Huna ndoa unawezaje kuchepuka?!!
Poa poa shemela nimekuelewa!By the way nina mtoto wa kichaga wa ubini wa Mushi kazuri nakapenda huwa napendaga kumtaniatania!!Poa mkuu ngoja turudi kwa huyu mdada Cute Love.Hahahaa nakutania mkuu, nikiwa chuo kuna Dr alikuwa anatufundisha akatuambia 'Huyo Nyerere anasema mtu ukila nyama ya mtu huwez kuacha ina maana yeye alishajaribu kula hiyo nyama ya mtu?'