Siku ya kula chips mayai

NAKEMBETWA

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
3,517
3,135
Nipo hapa naangalia mechi ya Tanzania vs Misri, nikaamua kubadili channel na kuweka Clouds ndio nakutana na tamasha la wala chips Dar linafanyika Mbagala zakheem

Maana ya hii siku ni nin sijaelewa wadauu hebu nifafanulieni

kwamba watu wanapenda hiki chakula hadi wameweka siku ya kuadhimisha??
 
nimeshangaa sana kwamba siku ya chips mayai?? yaan huku chips mayai huwezi ukala halaf ukasema nimekula msosi , kwanza ni chakula cha wanawake
 
Chips yai zege kuitwa sio healthy sio ishu coz...
Sukari mbaya kwa afya
Mafuta ya kula mbaya kwa
Nyama mbaya kwa afya
Mkate mbaya kwa afya
Unga sembe mbaya kwa afya
Soda mbaya kwa afya

Labda utwambie we unahisi clouds wamekosea wapi maana huku mtaani chips ndio lunch ya raia wengi.
 
Leo ilikuwa na vita ya clouds fm vs Efm
Chips yai vs nakomaa concert kote full bongo fleva na visingeli
Walikuwa wanashindana kujaza watu clouds fm mbagala zakkiem huku efm wakiwa viwanja vya posta
1465055608625.jpg
1465055755471.jpg
 
Mnaojiita wa mjini ni kipi mnacho distinguished?
Kila kiingiacho mjini ndio humalizia kijijini.
1 Ofisi za serekali zipo mjini
2 Biashara zote zipo mjini
3 Ukombozi umeanzia na kupatikana mjini
4 Ikulu ipo mjini
5 Usafiri lazima uanzie mjini
Vijijini tunataka mbatata,kuku wenu tu ili tupate chipsi mayai na kuku
 
Kila kiingiacho mjini ndio humalizia kijijini.
1 Ofisi za serekali zipo mjini
2 Biashara zote zipo mjini
3 Ukombozi umeanzia na kupatikana mjini
4 Ikulu ipo mjini
5 Usafiri lazima uanzie mjini
Vijijini tunataka mbatata,kuku wenu tu ili tupate chipsi mayai na kuku

Uwe smart kabla hujafanya arqument yoyote!
Hukufundishwa kwamba kuna tawala za mikoa na serikali za mitaa ambazo kwa ujumla wake ndizo huunda serikali kuu?
Hukuwahi fundishwa kuwa harakati za ukombozi zilianzia kwenye vyama vya wakulima na kwamba baada ya ukombozi kulianzishwa vijiji vya ujamaa ambavyo mwishoni vilikuja kuwa chimbuko la miji mikubwa? Wewe kweli ni chips mayai! Tena mayai ya kuku wa kisasa!
 
Kila kiingiacho mjini ndio humalizia kijijini.
1 Ofisi za serekali zipo mjini
2 Biashara zote zipo mjini
3 Ukombozi umeanzia na kupatikana mjini
4 Ikulu ipo mjini
5 Usafiri lazima uanzie mjini
Vijijini tunataka mbatata,kuku wenu tu ili tupate chipsi mayai na kuku
6.miguu ya kuku na utumbo vipo mjini
7.,,,.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom