Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,988
- 9,213
"Do you afraid....."
"I am afraiding....."
Hiki Kiingereza cha hivi wenzetu mlifundishwa na walimu wa wapi?
ambao walifundishwa na nani aliefundishwa na nani na wapi?
Lazima udhaifu huu ilianzia chini ukalelewa.
Argrrrrr!!! kichefuchefu😕
Umeandika vizuri sana. Ila kauli ya Marehemu lazima iheshimike. Maagizo yangu yanatekelezeka. Nifikia hewani, that is my destiny , I cannot change
Thank you , je kwa wewe ni mambo gani ukifa leo, huyopenda ufanyiwe?
The thread is scary! Hata sitaki kuwaza juu ya kifo changu..
I'm in the middle of something similar to this, WILL. Someone wanted to be burnt when he dies, now that he's dead the clan elders are insisting on following normal traditions of 'six feet under', the close family is insisting on burning the deceased as he wished when he was alive.Kwa bahati mbaya kabisa fear of death has never been a solution or Elixir!
Better accept it while you are learning to welcome your destiny. Think about death most of the time because one day your thoughts will be true, be assured that death is REALLY, and for sure you will die, hata kama ukiishi 100 years.
They say, death does not just happen to others, the opposite is true ! THINk
Kitu nimegundua kuanzia mwanzo mpaka hapa katika comments, wale wenye wako na kipato ndio wanaongea ongea maswala yya kuandika wosia kisheria sijui mttoto na mke wangu arithi koti nakadhalika nakadhalika. Sie akina pangu pakavu tunataka tukifa tuzikwe tu, vyovyote vile cha msingi tuzikwe.
BINAFSI nataka niwajulishe ndugu zangu siku nikienda, wajitahidi wanifukie mavumbini, nachukia na sipendi hii tabia ya kujengewa sijui na masementi mara marumaru SITAKI KABISA. Unakuta maishani sijafanikiwa hata kujenga nyumba halafu siku nife ndugu zangu wajitie kunijengelea, walahi wabilahih nitaammka niwachape bakora kwa ujinga huo. Wakishindwa kunizika mavumbini waniache hata porini niozee huko.
Kamama nitakufia katika ajali ya moto itakua vema nitakua mavumbi haraka. R.I.P in advance kwa mwili wangu.
I'm in the middle of something similar to this, WILL. Someone wanted to be burnt when he dies, now that he's dead the clan elders are insisting on following normal traditions of 'six feet under', the close family is insisting on burning the deceased as he wished when he was alive.
...I thought I was done growing/learning, kumbe I'm still a kid and need to go back to my books.
Kutoka Uvungu wa Moyo wangu
Natamani sana kufa kijana, sipendi nife niumweeeeeeee weeeeeeeeee. Naumwa siku 3 au 5 then Unalala kayika Bwana
Unajua Duniani Salama kwa wakosa rehema, ukuwa unaabudu Mungu kweli huwezi penda maisha ya Tabu ya dunia hii asee.
Siku nakata roho naagana na dunia hii aseeee Naingia Maisha ya kutokufa(tunayofunzwa) nitafurahi sanaaa.
Hata uwe na hela kiasi gani Maisha hayana maana wala shukrani
DUNIANI TABU SANA
Wewe Umeamka as well. Na umeshatambua kwamba Kifo ni WAJIBU. Yaani ni RESPONSIBILITY YA KILA MMOJA WETU.
Kitu kibaya ni wale ambao wanaogopa, kwa binadamu ambae anaogopa kifo ... kifo huja katika mazingira mabaya sana.
-
Wakati Nipo Hospitali Kama Intern, wakati nafanya rotation kwa wagonjwa like 5 years ago. Niliingia moja ya wodi pale NATIONAL HOSPITAL katika majukumu ya kila siku ; nilikutana na mgonjwa ambae kwa kumuangalia tu alikuwa kwenye his last hours; and he was denying the fact that he was dying.
-
Alikuwa anajirusha kitandani, akaanza kunya na kujipaka mavi yake usoni. Ikabidi manesi wamu hold, Na tukampiga Diazepam aweze kurelax Na kutulia. Jioni naingia tena kwenye rotation, nikamkuta kaamka na amechili.
-
The following morning naingia tu, wodin nikakutana na vile vitanda with castors vikielekea Mochwari. Nikamuukiza nesi huyu ni Yule Mgonjwa wa Jana, Akasema yes .
-
Nikasema fine, he has transcended into the eternal NOW... nikaongozana na mwili wake hadi mochwari kumpa heshima ya mwisho.
He grabbed my attention because he was denying death, and the struggle was real.
Vifo vingi vya watoto ambavo nimekutana navo in my daily responsibilities in many Wards and emergency Departments was fair and calm.
-
Nikagundua kwamba watoto wao lolote na liwe tu it is okay for them. They have not attached that much to this damn world.
Tulijibiwa kwamba How could that possibly be , you fear something that you never had any experience before? is there any person in all our recorded history ever experienced The Go and Return to share the experience, they asked.
siku zangu zikikaribia, for sure I will know
5. Kaburi langu lisijengewe wala kuandikwa jina.
6. Nisivikwe nguo yoyote zaidi ya kitambaa kitakachohifadhi tupu zangu.
Akili za kuambiwa, Changanya na zako.
Kwa kuwa wanajua wanaongea Kiswahili kilichopinda wenyewe.Mbona Wakenya hamuwachek kwenye kiswahili
Kwa kuwa wanajua wanaongea Kiswahili kilichopinda wenyewe.
Huyu mwamba anaandika Kiinglish cha Darasa la Tatu kisha anashupaa kujua sana.
Basi inabidi kumshangaa na kufurahia anavyozidi kujiingiza chaka.
Ni shida, na si ajabu ni 'graduate'.
Mkuu watu huwa hawaogopi kifo bali huwa wanaogopa huko waendako watajibu kitu gani mbele ya Mungu ukizingatia kwamba wengi wetu tunaishi maisha ya anasa na kusahau wajibu wetu mbele ya Mungu, hofu hasa ipo hapo.
Ndiyo mkuu, hebu tuambie ni kwa jinsi gani utajua kuwa siku zako za kifo zimekaribia???--- angalia, hiyo inamaanisha kwamba hata namna na aina ya kifo chako unakijua!!
Kaburi lako lisijengewe au hata kuandikwa jina kwani wewe ni muhalifu??, hata wahalifu makaburi yao hupambwa na ndugu na jamaa zao wanaotambua mchango mzuri waliowafanyia katika uhai wao. Vipi watoto na wajukuu zako wakitaka kuona kaburi lako itakuaje??!!, kwani kaburi lisilojengewa ni kaburi lililopotea.
Kwanini unataka tupu zako tu zifunikwe na sio mwili wote??-- mkuu,ukiamua kula nguruwe kula aliyenona, bora wakuache wazi kabisa.
Nadhani katika masharti yote juu ya mazishi yako hilo litakuwa ni sharti gumu, ili uzikwe katika hali hiyo unayoitaka labda uajiri watu binafsi kwa kazi ya mazishi y ako.
Sio akili za kuambiwa ni kwa habari za kuambiwa tumia akili yako. Wewe kwa umri ulionao umepata wapi kusikia kuna kitu kinaitwa AKILI ZA KUAMBIWA??
Kwenye mazishi ya mwili wako nitahudhuria
Hata mimi nitahudhuria katika mazishi yako.