Siku ya Kifo Changu


How did you come to that conclusion of Motoni or Peponi?
 
Boss , kuna ujumbe wangu DM kwako kiongozi
 

Ha ha ; Sawa Bwana, atleast wewe umekikubali kifo. By the way mirathi yangu ipo kisheria na sio kimaandiko tu. Sasa hiyo mahakama itakayopinga mirathi yangu itabidi hakimu muhusika aje kunifufua.

Mirathi nyingi za KITZ ni matamko na paper based ambayo haya nguvu mahakamani.

Nimeshasema mali zangu zote ni mke wangu na watoto wangu. Na hili lipo kisheria zaidi kuliko kimaandishi . Ndugu zangu watapata chao wakati nipo hai kama kuna umuhimu.

Halafu haya mambo ya waafrika kutolea macho mali za ndugu yanatoka wapi? Halafu walivo mental illness, wanasahau watoto. Mimi hili swala nimeliweka bayana kabjsa na hakuna ndugu niliyemuweka karibu na mali yangu except my wife and my kids. Same to my wife, she has done the same.

Hii mambo baba yao au mama yao walikuwa na hela but now watoto hata Shule hakuna wa kuwalipia Ada Sitaki kusikia
 
Nikifa sitaki Kuzikwa kwenye makaburi ya Jumla nataka wanizikie nyumbani kwangu.
Sure. Hata mimi mambo ya kubaba na kunukiana sitapenda kabisa. Nizikwe Kijijini kwetu kwenye shamba langu.
 
Wanichome moto nianze kupata experience mapema ya jehanamu kama tuaminishwavo na watawala wa kidini.
 
Wanichome kama Wahindi nione siku ya mwisho nitaludije
Mkuu, jiulize kabla wazazi wako ambao ndio waliokuleta hapa duniani hawajazaliwa, ulikuwa wapi..?!

Jibu ni: Haukuwepo! Na wala haukuwa ni mwenye kutajwa kabisa!

Kwahiyo usipate tabu, Yeye Aliyekuanzisha mara ya kwanza hashindwi kukurejesha mara ya pili!
 
Sasa ukifa halafu shemeji akaolewa na mwanaume mwingine, na mauti yakamkuta huko... Unadhani mumewe atakubali mkewe azikwe kwenye 'kitanda' chako..?!
 
Kwenye mali za baba yao? Hawakuambulia hata soks hata kijiko. Yuko mtoto wa nje ya ndoa ndo alijimilikisha vyote.

Hawa watoto wa nje ya ndoa ni hatari.

Nazidi kumngojea Mungu aje aamue mwenyewe.
Looh, pole sana!
 
Yani mtu afate maagizo ya marehemu?ukifa huna lako na huwezi kupangia watu kitu cha kufanya

Mimi ndio nimeagiza. Na Mimi ndio nitakuwa nimekufa. Mimi familia yangu marhemu wote wanasikilizwa kwa yale yote yanayotekelezeka. Kwanza Mimi ndio nimekufa why mnipangie nyie namna ya kunizika
 
Mimi kifo najua kipo na kitakuja tu...hakina siku saa.
Hivyo Basi...najiandaa na maisha baada ya kifo ambayo naamini yapo.

Nachoomba nife Hali ya kuwa Mola want yu radhi nami.

Kuzikwa nizikwe kwa taratibu za Dini yangu..ya uisilamu.

Hivyo yaani

Sawa ila hakuna anaekufa hajaridhiwa Na Mola. Hayo maneno mengine ni Faraja ya insecurities Tu
 
Hili jambo watu wengi hawalitilii maanani, unakuta familia nzima wanasafiri kwenye chombo kimoja cha usafiri, ikitokea bahati mbaya mnaondoka wote kwa pamoja

Na huyo kwenye DP ndio wewe ?
 
Sijui hawa watu wanaofanya kazi mochwari huwa wanalalaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…