wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,454
- 4,376
Ngoja tusubiri october 2015(mwaka huu).
Haya yamtoa mada yanaweza kutimia.
Haya yamtoa mada yanaweza kutimia.
Wakuu siku ambayo ccm itaondoka madarakani na kuwa chama cha upinzani, Je utafanya nini kwa furaha?
Binafsi siku hiyo kwanza sitaenda kazini....pili nitavua nguo zote mchana kweupee na kubaki kama nilivyozaliwa
kisha nitazunguka kwa kukimbia nyumba ninayoishi mara 3 kama chizi hivi.....tatu jioni ya siku hiyo hiyo nitaenda
kulala kwenye nyumba ya ibada hadi asubuhi huku nikimshukuru mungu wangu.
Je, wewe mwenzangu utafanya nini kwa furaha panapo siku hiyo?
teh tehNitamnunulia Nape Nepi kubwaaa..!
CCM haiwezi kuondoka madarakani labda iondolewe madarakani.
Swali ni kwa siasa zetu hizi za maslahi zisizo na dira sahihi ya kuiondoa CCM madarakani, ni nani ataiondoa CCM hapo ilipo?