Siku ya 'kifo cha CCM' wewe utafanya nini kwa furaha?

" Mimi ni mshabiki zaidi wa Tanzania kuliko wa (CCM). Kama kungekuwa na chama kingine kizuri, nisingehangaika na CCM. Ningeacha chama hicho kingi ne kishike madaraka" JK Nyerere.
Senkyuu Mkuu! Mtazamo wako uko sanjari na wangu!

na utahama nchi hii
Ni kitu ambacho hakiwezekani!
Demokrasia nchini kwetu bado ni changa sana! Nafikiri uliona mwenyewe kwenye last election.
CCM ni chama cha watu makini, na wenye kutumia kila mbinu kuhakikisha wanashinda! Tuukubali ukweli, CCM haitakaa ife Tanzania!

Nitafunga baa zote za dar na madanguro yote watu wanywe bure na wanawake madanguroni nitawalipia mimi.

Ni kitu ambacho hakiwezekani!
Demokrasia nchini kwetu bado ni changa sana! Nafikiri uliona mwenyewe kwenye last election.
CCM ni chama cha watu makini, na wenye kutumia kila mbinu kuhakikisha wanashinda! Tuukubali ukweli, CCM haitakaa ife Tanzania!

kaka wewe unajidanganya siyo, mawazo yako yamepitwa na wakati ujue CCM itakuwa imekufa kabisa kabla hata ya uchaguzi na imeshaanza kufa hivyo imebaki CCM jina wengi wapo mle alimradi mkono uende kinywani hawafrahishwi kabisa na utawala wa sasa wa Vasco Dagama II, na siku mtakayomtoa lowasa ndo imemeguka vipande vipande. Mungu ameshatuhaidi ukombozi tunasubiri

Siku hiyo ntanunua mbuzi wa hitima na kreti zangu 10 za bia,yaani ntakesha siku 2 nakunywa na kula huku nasakata rhumba,yaaani mauno kwa kwenda mbele.

degedege umenena jambo jema.HAKUNA CHAMA
" Mimi ni mshabiki zaidi wa Tanzania kuliko wa (CCM). Kama kungekuwa na chama kingine kizuri, nisingehangaika na CCM. Ningeacha chama hicho kingi ne kishike madaraka" JK Nyerere.

Mnajifurahiiiisha. Hivi wakuiua CCM ni nani kwa hivi karibuni? maana Chama kama CCM kufa "natural death" kama ilivyotokea kwa CCJ katika infancy, ni ndoto.

Hivyo vyama vyooote vya upinzani kwanza viache kuendeshwa na waliotokea huko CCM, halafu ruzuku ya hivyo vyama vyoote vya upinzani wanazopewa na Serikali inayoendeshwa na CCM kwanza wazikatae. hapo ntajuwa sasa siasa inapamba moto.

Baniani mbaya kiatu chake dawa?

Nyie magwanda, vipi lile changa la macho mlilopigwa na wakubwa wenu kuhusu Arusha, mmeshalifikiria? au ndio mmeridhika? maana mlikuwa mnanibishia hapa, ooh lete ushahidi kuwa Mbowe na Pinda wamefikia muafaka, ushahidi akawaletea mwenyewe Daktari wa kanoni bila digrii.

Kimya, umewashuka, halafu oooh FF sijui nini, oooohh FF apigwe ban ya maisha! mnanchekesha

Wakuu siku ambayo ccm itaondoka madarakani na kuwa chama cha upinzani, Je utafanya nini kwa furaha?

Binafsi siku hiyo kwanza sitaenda kazini....pili nitavua nguo zote mchana kweupee na kubaki kama nilivyozaliwa

kisha nitazunguka kwa kukimbia nyumba ninayoishi mara 3 kama chizi hivi.....tatu jioni ya siku hiyo hiyo nitaenda

kulala kwenye nyumba ya ibada hadi asubuhi huku nikimshukuru mungu wangu.

Je, wewe mwenzangu utafanya nini kwa furaha panapo siku hiyo?

Nitachukua albamu na kutazama picha za marehemu baba yangu (RIP father) na kumwambia baba yametimia. But ntakua sad that hajaishi kuona the death of magamba but on the other hand itakuwa ni partying all day kufurahia uhuru namba mbili. God let me live to see that day!

Nyie magwanda, vipi lile changa la macho mlilopigwa na wakubwa wenu kuhusu Arusha, mmeshalifikiria? au ndio mmeridhika? maana mlikuwa mnanibishia hapa, ooh lete ushahidi kuwa Mbowe na Pinda wamefikia muafaka, ushahidi akawaletea mwenyewe Daktari wa kanoni bila digrii.

Kimya, umewashuka, halafu oooh FF sijui nini, oooohh FF apigwe ban ya maisha! mnanchekesha

Mbona umerudi mapema sana, ban gani siku mbili tu? Au umeenda kubembeleza Mwanahalisi uachiwe?

Mimi kwa mala ya kwanza ndio NITAPANDISHA BENDERA YA TAIFA FULL MLINGOTI. kwani mpaka sasa siamini kama tulishapandisha bendera yetu.
Ukoloni wa hili dubwana CCM ni mbaya kuliko utawala wa kikoloni. Jambo la muhimu ni kufanya juhudi ili hilo likamilike, mengineyo baada ya hapo. Binafsi baada ya kuhamasisha watu zaidi ya elfu kwenda kuikataa CCM kwenye sanduku la kura na kufanikiwa, ntahakikisha tunaanza mapambano mapya ya kuirudishia nchi yetu heshima iliyopoteza na kutumiaushawishi woote kuhakikisha waliotufikisha hapa wanawajibishwa na angalau wanafanywa wajutie walichokifanya ikiwa ni pamoja na kuwaomba radhi watz na kuwarejeshea walivyohujumu.

Back
Top Bottom