Siku ya harusi yangu nà Gentamycine

Siku yangu ya ndoa ntatia saini kwenye cheti cha ndoa kwa penselisiwez kuingizwa ktk matatizo kijinga kijinga mm☹ akizingua tu nafuta
Nyie wote vivuruge tu hakuna cha afadhali wala nafuu
 
Nafurahi kuwa na Wafuasi wengi wa ID yangu hii iliyotukuka ya GENTAMYCINE na hata waje wengine wengi tu ila GENTAMYCINE atabaki kuwa ni mmoja tu the ' Talented and Charismatic ' one. Na ni kweli kwamba hii ID yangu nimeianzisha kutoka katika jina la Rapper kwa Kizungu au Animateur kwa Kifaransa au Mghani kwa Kiswahili wa Bendi yangu ninayoipenda duniani ya Wenge Musica BCBG aitwae kwa jina halisi la Pitshou Lisimo a.k.a GENTAMYCINE ambapo ni majuzi tu Rais wa Bendi ya Wenge Musica BCBG Jean Bedele Tshituka Mpiana ( JB Mpiana ) akiwa anasheherekea Birthday yake ya miaka 52 amemzawadia GENTAMYCINE zawadi ya Gari ya Kifahari kabisa aina ya Jeep Cadillac kutokana na Kazi yake nzuri ya Kughani katika Masebene hadi kuweza kuifanya Bendi ya Wenge Musica BCBG kupendwa na kukubalika. Nampenda sana na kuliko maelezo huyo Rapper au Animateur au Mghani GENTAMYCINE na kwa wale ambao mnapenda kumjua tafuteni sana DVD za Wenge Musica BCBG mtaona shughuli yake ya Kutukuka awapo stejini huku Sebene likiwa limechanganya.

Signature yangu hapo chini ya ' animateur maestro ' tayari inakupa jibu kuwa GENTAMYCINE ni Rapper / Mghani mahiri.
 
Siku yangu ya ndoa ntatia saini kwenye cheti cha ndoa kwa penseli✏siwez kuingizwa ktk matatizo kijinga kijinga mm☹ akizingua tu nafuta

Naona jana uliamua uanzishe uzi ili unichoreshe kwa Kutukuka Mkuu. Haya bhana!
 
Uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii
Wewe mama yake na yule binti aliyevunja ungo miaka miwili iliyopita wakata genta anaomba ushauri?
 
Nafurahi kuwa na Wafuasi wengi wa ID yangu hii iliyotukuka ya GENTAMYCINE na hata waje wengine wengi tu ila GENTAMYCINE atabaki kuwa ni mmoja tu the ' Talented and Charismatic ' one. Na ni kweli kwamba hii ID yangu nimeianzisha kutoka katika jina la Rapper kwa Kizungu au Animateur kwa Kifaransa au Mghani kwa Kiswahili wa Bendi yangu ninayoipenda duniani ya Wenge Musica BCBG aitwae kwa jina halisi la Pitshou Lisimo a.k.a GENTAMYCINE ambapo ni majuzi tu Rais wa Bendi ya Wenge Musica BCBG Jean Bedele Tshituka Mpiana ( JB Mpiana ) akiwa anasheherekea Birthday yake ya miaka 52 amemzawadia GENTAMYCINE zawadi ya Gari ya Kifahari kabisa aina ya Jeep Cadillac kutokana na Kazi yake nzuri ya Kughani katika Masebene hadi kuweza kuifanya Bendi ya Wenge Musica BCBG kupendwa na kukubalika. Nampenda sana na kuliko maelezo huyo Rapper au Animateur au Mghani GENTAMYCINE na kwa wale ambao mnapenda kumjua tafuteni sana DVD za Wenge Musica BCBG mtaona shughuli yake ya Kutukuka awapo stejini huku Sebene likiwa limechanganya.

Signature yangu hapo chini ya ' animateur maestro ' tayari inakupa jibu kuwa GENTAMYCINE ni Rapper / Mghani mahiri.
Hahahah.... mkuu hiyo font unayumia inaitwaje? karibu hapa Kalemie tukawaone Wenge BCBG
 
Hahahah.... mkuu hiyo font unayumia inaitwaje? karibu hapa Kalemie tukawaone Wenge BCBG

Inaitwa Courier New Mkuu. Akhsante kwa kunikaribisha hapo Kalemie Mkuu katika hiyo Concert ya Wenge Musica BCBG. Ukipata bahati ya kuonana na hao Waimbaji wa Wenge BCBG hasa Rapper mwenyewe GENTAMYCINE ( Le animateur Champion du Congo ), Mwanadada yule Mcheza Show wake Kiongozi Queen Murder Zambrotta, Mpiga Drums wake Seguen Mignon Maniata, Mpiga Kinanda wao Mkuu Cedric Gezeula na Mpiga Solo wao matata kabisa na Mkongwe Mitre / Mwalimu Ficarre Mwamba waambie yule Rafiki yao Mtanzania Balozi wa Wenge Musica BCBG Tanzania waliyekuwa nae pale Leaders Club December 2012 anawasalimu mno, nawapenda sana na nawatakia kila la kheri katika Kazi zao na mwambie JB Mpiana kuwa tunasubiri kwa hamu sana release ya Album yake mpya ya Balle de Match ambapo nasikia Animateur / Rapper / Mghani Kiongozi GENTAMYCINE kafanya vitu vikubwa na vya hatari kabisa hadi Marapa wenzake akina Gesac wa Koffi Olomide na Lobeso wa Werrason wamemvulia Kofia na kumpigia Salute.

Hata hivyo katika hiyo Album yao mpya itabidi tu kila mara niwe najifuta machozi kwani hata yule Rapper wao namba mbili ambaye sasa ni Marehemu aliyekuwa akiitwa Faustine Nzinga Yankobo ( jina la Kazi CELLULAIRE ) ametupia mno humo kama kawaida yake akimfanyia back up GENTAMYCINE. Wana Wenge Musica BCBG tutamkumbuka sana huyu Rapper CELLULAIRE na tunamuomba Mwenyezi Mungu ailaze Roho yake mahala pema peponi Amen.
 
Naona unajioa na ID yako nyingine

Sina haja na kuja humu na ID mpya wakati tayari hata hii tu inajulikana hadi na Jumba Jeupe Magogoni na inafuatiliwa kwa Kiwango kikubwa mno na kwa umakini sana na Watu wengi ndani na nje ya Tanzania. Kwa faida yako au kwa taarifa yako kuna hadi Watu huko walipo wanalipwa Mishahara yao kwa kushinda tu JF 24/7 kuangalia ID hii inaanzisha au ina comment nini kwa mambo ambayo ni very sensitive in Public na hata mambo mengine tu ya Kijamii na mara nyingi comments au threads zangu huleta impact fulani huko wanakonifuatilia. Wewe POPOMA unaweza kuona nikiwa humu labda napoteza tu muda au nacheza cheza tu ila uandishi wangu humu unatishia Watu amani na nakubalika na wengi pamoja na Wewe pia.

This is GENTAMYCINE na kuna GENTAMYCINE mmoja tu JF ambaye ametukuka na sioni haja ya kuwa na Multiple ID's.
 
Hahahah.... Ukuje na Mkeo Nazjaz kwenye hii show iwe pia ni burudani wakati wa "FUNGATE" yenu...:D :D
 
Sina haja na kuja humu na ID mpya wakati tayari hata hii tu inajulikana hadi na Jumba Jeupe Magogoni na inafuatiliwa kwa Kiwango kikubwa mno na kwa umakini sana na Watu wengi ndani na nje ya Tanzania. Kwa faida yako au kwa taarifa yako kuna hadi Watu huko walipo wanalipwa Mishahara yao kwa kushinda tu JF 24/7 kuangalia ID hii inaanzisha au ina comment nini kwa mambo ambayo ni very sensitive in Public na hata mambo mengine tu ya Kijamii na mara nyingi comments au threads zangu huleta impact fulani huko wanakonifuatilia. Wewe POPOMA unaweza kuona nikiwa humu labda napoteza tu muda au nacheza cheza tu ila uandishi wangu humu unatishia Watu amani na nakubalika na wengi pamoja na Wewe pia.

This is GENTAMYCINE na kuna GENTAMYCINE mmoja tu JF ambaye ametukuka na sioni haja ya kuwa na Multiple ID's.
Sawa kwa kujioa kwa ID yako popoma mkuu
 
Back
Top Bottom