Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,699
- 40,900
Hii couple ilianza lini
Hewalaaa...ngoja nije chap chap tucheze kombolela hukoMichapo njoo pm hapa tutaonekana bana
Ha haa haaa karibu tena aisee...Mungu anasaidia kaka...
Dah unanikumbusha mbali mzee
Hapo kuna kitu kimezingatiwa sio bure kabisa.Siku yangu ya ndoa ntatia saini kwenye cheti cha ndoa kwa penselisiwez kuingizwa ktk matatizo kijinga kijinga mm☹ akizingua tu nafuta
Mkuu....Hii couple ilianza lini
Panapo majaaliwa mkuuHa haa haaa karibu tena aisee...
Hata kidogo sijakumissUmenimiss?
Akuje chumbani tuyajengeHe hee heee...
Wapi aje?
Mambo ndo hayo sasa leo tujifiche uvunguni tusionekane harakaHewalaaa...ngoja nije chap chap tucheze kombolela huko
Makapuku forum ndio zao hizooo.Wewe ndo nini sasa hii?
Siku yangu ya ndoa ntatia saini kwenye cheti cha ndoa kwa penseli✏siwez kuingizwa ktk matatizo kijinga kijinga mm☹ akizingua tu nafuta
Dah....Tulisha sema, awamu hii hatufukui makabiri ya awamu ilio pita....
Haaa hakuta baki na ndoa bali masalia ya ndoa kama kuna watotoKwenye kula kiapo utasema kufa na kuzikana au? Kwenye raha tuu shida kila mtu afe na zakwake?
HahahahaaaaaaaaaaaaaaSiku yangu ya ndoa ntatia saini kwenye cheti cha ndoa kwa penseli✏siwez kuingizwa ktk matatizo kijinga kijinga mm☹ akizingua tu nafuta
hizi ni herufi Kuu ha ha haaa tunacheka kwa kebehiiiiHa ha ha ha
Kuna ID mpya Rapa GentamycinePage kadhaa zishapita nasubiri jibu la mkuu GENTAMYCINE kwa huyu demu aliyeshoboka