Siku ya Break up!

Niseme pole kabla sijajua umekumbuka wapi.. Hahahahaa
Hahahaa Hapana kuna binti kipindi cha Nyuma alitaka kuruka sarakasi.. kwa Biti na userious wa hali ya Juu nikamwambia Ukiondoka its your Loss nit mine.. and never turn your ass back.. Hahahaa Mpaka na leo!
 
 
Duh pole sana mamii, hakuwa wa kwako huyo! Ila jifunze kupenda tena ili uinjoy mapenz mengine yajayo yatafurahisha!
Unafikiri kujifunza kupenda ni rahisi namna hiyo!!!
 
Unafikiri kujifunza kupenda ni rahisi namna hiyo!!!
Ni rahisi kupenda kama utafahamu kwa pamoja vinahitajika jua na mvua ili ua listawi. Ukiwa na akili za kuwaza mvua pekeyake hutaweza kupenda!
 
heheee",... hiyo hali haijawahi nifika',when nilipoachana na. manzi niliyempenda" huwa nina katabia Fulani hivi" nikiona mwenzangu" ameanza kuwa navijitabia fulani hivi vya usaliti basi taa nyekundu huwa inaniwaka kichwani.
Sikuwahi achwa, nilikua mzee wa round 3-4 napotezea siku game liliponibadirikia sasa!!... Hadi leo namuheshimu yule mwanamke!.
 
Mimi kama mwakilishi wa waoga duniani, huwa nasoma tu nyakati, halafu najipa challenge ya deadline ya kufanya maamuzi magumu; mfano kama wiki moja au mbili hivi.

Hii ni kwa sababu, nikiona tu sipendwi, bas najiona kama fala tu lenye mzigo.

Nakimbia mapema.
 
Sikuwahi achwa, nilikua mzee wa round 3-4 napotezea siku game liliponibadirikia sasa!!... Hadi leo namuheshimu yule mwanamke!.
Ulikiona cha Mtema kuni ....ha hahaa
 

So sad!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…