Siku nyingine ukiona chick anakuletea mapicha picha, kapunguza mapenzi, we mchane tu aseme kama kaona haumfai au kapata mwingine, sio kujishusha shusha sana utazani yeye malkia.Ilikuwa ndo first love kipindi hicho ninae mmoja tuu...!! Kujikutaa loyal khaaaa nlinyooshwa
Mkuu acha tu sijui nieleze vitu maana yale maumivu kumweleza ambaye hajapitia ni ngumu kukuelewa kabisa ila maumivu ni makali mnoooooAisee jamaa alikuwa muuaji khaa...!!
Nilipata aibu maana mother na sister walijua nimeachwa ila mother aliniambia kubali yaaishe tu maana hakuna namna japo sikumwambia ila aliona maumivu nayopitiaMbaya ulishamtambulishaa hata kwa ndugu..
Daah kufiwa na mpenzi kunauma Sana aisee...!! pole sanaNilipokea ujumbe "F is no more". Kwanza nilihisi ujumbe umeandikwa kichina maana nilikuawa nasoma ila sielewi, nilishindwa kulia nikabaki nimezubaa tu. Nilijua anaumwa ila nilitegemea angepona hivyo kifo chake kiliniuma hadi kwenye mifupa. Hivyo ndivyo nilivyoachwa na mwanaume pekee nilowahi kumpenda sanaaaaaa.
Kuanzia hapo sijawahi kupenda tena hivyo ukiniacha unajisumbua tu na sijui kama nimewahi kuachwa au naacha hata suelewi.
Watu Wa mkoa Wa MaraWapi huko mkuu hadi Leo unachaguliwa mke???
Na dedicate kwako wimbo wa huyu kijanaHata asipokua committed Mimi nikimpenda atanipenda. Tatizo langu kubwa sio MTU wa kunipend ni MTU wa Mimi kumpenda
Asante sana mkuu.Daah kufiwa na mpenzi kunauma Sana aisee...!! pole sana
Agiza bia popote pale nitalipaheheee",... hiyo hali haijawahi nifika',when nilipoachana na. manzi niliyempenda" huwa nina katabia Fulani hivi" nikiona mwenzangu" ameanza kuwa navijitabia fulani hivi vya usaliti basi taa nyekundu huwa inaniwaka kichwani
.
.huwaga sisubiri mpaka niachwe" bali natengeneza mazingira ya kuachana ili tutoke ngoma draw" ... Huwa nakaa kimtego mtego" Asipo nipigia na mimi simpigii" Asipo nitext na mimi simtext"... nikimtafuta hewani mara 1 then ikawa ha-respond basi sijishughulishi kumtafuta tena" mpaka atakapo nitafuta yeye" cause missed call yangu siameiona bwana".... ikitokea akapiga kimya kwa muda wa siku 3,.. basii nafuta namba yake kabisaa' ili nisije pata mshawasha wakumpigia"...
that's all
Jinsia yako ?Mimi inavyosemekana nilikunywa sumu
Ni mimi ndo niliyekunywa sumu siyo huyo jinsia yako mkuuJinsia yako ?
Mkuu islets nimeamua kukupa ka.like...maana umenena vyema....heshima kwako....mnaong'ang'ania mpaka mnaachwa acha muumie, tena hasa wanaume, unaona kabisa sehemu ulipo siko, unakazana kubembeleza kana kwamba huoni wengine mpaka siku upewe za uso
Mkuu kwan na wewe uliachwa na mkaka!!?story zetu zinafanana vip tukitoka kwa dinner msupuu
Kabisa Chief " mambo mengine yanataka Ujiongeze tu mwenyewe ..sio kulazimisha mambo kumbe ndio waikaribisha aibu chumbani kwako".... ukiona mwenzi wako hakutafuti kama awali basi jiongez" sio waanza kupiga piga simu nakumuhoji wakati anajua athari ya jambo analolifanya"... kitendo cha kukupigia kimya ni ishara ya kutokuwa na msisimko na maumivu yanayo changiwa na hisia zako dhidi yake" so wataka mpaka hilo uambiwe".... ndio ile wakuta mpaka mtu anakuja kuambiwa sikutaki au nimefikiria nimeona kuwa nahitaji ku move on ..so lets break up"" unaishia kutoa macho tu kama mkolomije aliyeachwa posta"..... Aisee mimi hayo huwaga sisubiri yanifike...Agiza bia popote pale nitalipa
Watu huwaga hawaelew yaan mtu unampigia hadi mara tano hapokei lets say umempigia asubuh yaan mpaka inafika jion wala hakutafut na missed call zako kaziona tena bado lijitu linapiga et "ooh mbna hupokei cm zang"maisha ya mahusiano kama unamuona mtu yupo mguu moja ndani mmoja nje na ww inatakiwa ukae kimitego mitego sana