Siku ya Break up!

Ulioneshaa ukomavua aisee....Amepigikaa hata chakulaa kakosaa!! Wanawake akili zaoo bhnaaa...
 
Iliniuma sana ndio maana nikafanya vile... amenifanya niwe na elements za sitaki mapenz ***** zake yule
Ndo yalivyoo mapenzi. Now hakuna MTU utadate nae hajawahii Kuumizwaa...So ni kumove on tu!
 
Sikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena
Dah hata wewe? Pole
 
Mkuu katika hili swala la kuachana ndipo nilipo amini papuchi au wanawake wana tofautiana. Kuwa na wanawake wengi bado siyo solution, anaweza kukuliwaza for the time being ila kuna vitu lazima uvimiss kutoka kwa muhusika mwenyewe.

Acha kabisa mzee.
Acha kabisa.. Aisee
 
Kwahiyo umeandaa mazingira ya kuwa "spea tairi". Mi nikajua umevuta chombo ingine kwa nyumba..
 
Nilijifanyaga sisumbuki na kuachwa, ila moyo unatiririsha matone ya damu..niliona dunia imeniacha....
 
Nilijifanyaga sisumbuki na kuachwa, ila moyo unatiririsha matone ya damu..niliona dunia imeniacha....
Haa ha...Wanaojionaga makomandoo huwa wanaumia vibaya Sana!!
 
Tumemaliza chuo, kila mtu amerudi mkoa anakotokea, mm nilishamtambulisha kwa sister na maza, napigiwa simu nimeshafika mkoa wangu ananiambia nilikuwa nasubiri urudi nyumbani kwenu ili nikwambia kitu maana niliogopa nikikwambia uko unaweza kosa msaada ila umefika home kwenu Mimi na wewe basi kila mtu na maisha yake, nilikuwa nampenda sana kwa kipindi cha mwezi 1 nilipata maumivu makali mno sijawahi kuexprience dah
 
Acha ushamba labda kama wewe ni mwanamke. Lakini kwa dume business as usual, wanazaliwa wazuri wenye tabia nzuri zaidi yake. Ni sawa na kwenda dukani kuchagua nguo, amka acha uzwazwaaaa
 
Aisee jamaa alikuwa muuaji khaa...!!
 
Acha ushamba labda kama wewe ni mwanamke. Lakini kwa dume business as usual, wanazaliwa wazuri wenye tabia nzuri zaidi yake. Ni sawa na kwenda dukani kuchagua nguo, amka acha uzwazwaaaa
Nimeamkaa siku nyingi mzeee..siku hizi hata sishtukiii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…