Siku uliyofika Jijini Arusha, Jijini Dar es Salaam au Jijini Mwanza kwa mara ya kwanza ulipaonaje?

Jamani Hivi wasukuma na wachaga huwa ni watani???

Nimepata bahati ya kukaa majiji yote matatu tajwa!!

Dar ni habari ingine, sidhani kama inahitaji maelezo saaaaana, upana, population, urefu wa root za usafiri wa ndani vyote ni massive compare na mikoa tajwa.

Dar kwa mgeni shida ni hali ya hewa (joto) foleni za hovyo hovyo, uchafu na slums ni nyingi sana aisee kama magomeni, sinza, manzese ni tabu tupu!!!

Dar ina maeneo ya starehe mengi sana compare na majiji baki

Kuimaliza dar in a day as a city ni uongo huwezi!!

Ukifika mwanza usiishie mjini, chukua costa nenda mpaka kishiri alafu geuza nayo mpaka nyashishi

ukimaliza chukua costa nyashishi mpaka ilemela

then chukua costa ya ilalila via kiseke, saba saba mpka buhongwa bulale.

Rudi tena mjini panda hice nenda ibanda mlimani, shukia kitangiri mpaka mihama

ukimaliza panda hice kilimahewa mzunguko,

ukimaliza panda hice bwiru mpaka nyamhongoro,

ukimaliza panda hice malimbe mnangani mzunguko

Ukimaliza panda hice za mjimwema thaqhafa kilimahewa

Ukimaliza panda hice za nyasaka buzuruga mzunguko

Ukimaliza panda za hice mwananchi meko kangae (CBE)

ukimaliza pandacosta za usagara buhongwa kishiri kisesa,

Ukimaliza panda costa kisesa buswelu ilemela mahakama

Kama hizi root zote ukizipiga ndani ya siku moja basi we ni kiboko, MWANZA ni pana na kubwa na population kubwa!!

Mwanza vyakula cheap jamani, climatic condittion ni balanced!! I

Jiji la Mwanza ki mzunguko wa biashara ni mkubwa maana ndio hub ya mikoa jirani! Shinyanga, musoma, simiyu, geita na kagera!! Mwanza kuna watu jamani nadhani baada ya dar mwanza inafuta!! Mwanza jiji na wilaya zake(ilemela na nyamagana) watu wamejenga aisee

Mwanza kuna shida ya usafiri siku hizi, naona foleni za kujitakia, mwanza inaupungufu wa restaurants na maeneo ya familly outs.

Arusha ni mji populated only city centre. Unamajengo majengo mengi sana katikati ya mji,

Pembezoni nikawaida sana

umechangamka sana pale mjini, sio mpana kivile, ni mji unaweza maliza wote in aday!!

Arusha ina climatic condition nzuri sana inazidi mwanza na dsm.

arusha ni mji mdogo kwa ukubwa comparing with mwanza na dsm, uthibitisho bado arusha mjini wanatumia noa kama usafiri kwa baadhi ya maeneo, bado wana vi hice lakini root zao nifupi compare na mwanza na dsm

So kwangu mie kama tunazungumzia majiji

1. Dsm
2. Mwanza
3.ARUSHA
4. MBEYA
5.DODOMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemeana nataka kutokea wapi(Rwagasore au Mwanza Sec) nikiwa naingia mjini.

Nikitaka kutokea Rwagasore kuna option 2. Unaweza kufuata barabara kupitia geti la Bugando halafu kwa mbele barabara inapokata kona kuelekea kaskazini mimi nashonya na uchochoro natokea Rwagasore. Au naweza kutokea njia ya upande wa kaskazini wa Ghorofa ya Hostel ta Wanafunzi iliyopo kwenye mteremko fulani hivi... naenda kutokea kwenye barabara inayokunja kona ya Mwanza Sec, hapo nitavuka barabara na kufuata uchochoro wa Shule ya St Joseph au uchochoro mwingine uliozoeleka na nitazokea Rwagasore
Utatokea Rwagasore au Pamba road ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea Point Mkuu...Habari njema Ni kwamba miaka michache ijayo Maji itabaki Historian Kuna Mega projects za maana kama mbili hivi kuhusu suala la MAJI, kingine Mwanza wajipange haraka Sana Kuna kila sababu kutanua barabara hasa hii barabara inayoingia mjini mpk usagara kabisa ziwe njia nne Kama kutoka mjini mpk Airport ofheri watakuja wakumbane na Foleni hiyo miaka ijayo si mchezo..

Typed Using KIDOLE
Sure chief.
 
Mie mara ya kwanza kufika Mwanza nilipaona pachafu kinyama kipindi icho nlikua nmetokea Moshi Mji unaongoza kwa usafi
 
Jamani Hivi wasukuma na wachaga huwa ni watani???

Nimepata bahati ya kukaa majiji yote matatu tajwa!!

Dar ni habari ingine, sidhani kama inahitaji maelezo saaaaana, upana, population, urefu wa root za usafiri wa ndani vyote ni massive compare na mikoa tajwa.

Dar kwa mgeni shida ni hali ya hewa (joto) foleni za hovyo hovyo, uchafu na slums ni nyingi sana aisee kama magomeni, sinza, manzese ni tabu tupu!!!

Dar ina maeneo ya starehe mengi sana compare na majiji baki

Kuimaliza dar in a day as a city ni uongo huwezi!!

Ukifika mwanza usiishie mjini, chukua costa nenda mpaka kishiri alafu geuza nayo mpaka nyashishi

ukimaliza chukua costa nyashishi mpaka ilemela

then chukua costa ya ilalila via kiseke, saba saba mpka buhongwa bulale.

Rudi tena mjini panda hice nenda ibanda mlimani, shukia kitangiri mpaka mihama

ukimaliza panda hice kilimahewa mzunguko,

ukimaliza panda hice bwiru mpaka nyamhongoro,

ukimaliza panda hice malimbe mnangani mzunguko

Ukimaliza panda hice za mjimwema thaqhafa kilimahewa

Ukimaliza panda hice za nyasaka buzuruga mzunguko

Ukimaliza panda za hice mwananchi meko kangae (CBE)

ukimaliza pandacosta za usagara buhongwa kishiri kisesa,

Ukimaliza panda costa kisesa buswelu ilemela mahakama

Kama hizi root zote ukizipiga ndani ya siku moja basi we ni kiboko, MWANZA ni pana na kubwa na population kubwa!!

Mwanza vyakula cheap jamani, climatic condittion ni balanced!! I

Jiji la Mwanza ki mzunguko wa biashara ni mkubwa maana ndio hub ya mikoa jirani! Shinyanga, musoma, simiyu, geita na kagera!! Mwanza kuna watu jamani nadhani baada ya dar mwanza inafuta!! Mwanza jiji na wilaya zake(ilemela na nyamagana) watu wamejenga aisee

Mwanza kuna shida ya usafiri siku hizi, naona foleni za kujitakia, mwanza inaupungufu wa restaurants na maeneo ya familly outs.

Arusha ni mji populated only city centre. Unamajengo majengo mengi sana katikati ya mji,

Pembezoni nikawaida sana

umechangamka sana pale mjini, sio mpana kivile, ni mji unaweza maliza wote in aday!!

Arusha ina climatic condition nzuri sana inazidi mwanza na dsm.

arusha ni mji mdogo kwa ukubwa comparing with mwanza na dsm, uthibitisho bado arusha mjini wanatumia noa kama usafiri kwa baadhi ya maeneo, bado wana vi hice lakini root zao nifupi compare na mwanza na dsm

So kwangu mie kama tunazungumzia majiji

1. Dsm
2. Mwanza
3.ARUSHA
4. MBEYA
5.DODOMA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, machalii watapinga ingawa umesema ukweli mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nulipofika Arusha kwa mara ya kwanza nilijilaumu kwanini nimechelewa kuishi katika jiji zuri, hewa nzuri, mzunguko wa pesa upo... Nipo Arusha na I'm settled
 
Mnalinganisha Arusha na mji upi labda? Inaonekana kuna wengine wamefika Dar na Arusha tu. Arusha kwa Tanzania hii ni mji mkubwa sana na inastahili sifa inazopewa. Arusha ina majengo ya maana. Ina Barbara za lami za kutosha. Ni mji gani mwingine wenye barbara za lami mji mzima kama Arusha ukiondoa DSM?

Hujafika mwamza wewe
 
Jamani Hivi wasukuma na wachaga huwa ni watani???

Nimepata bahati ya kukaa majiji yote matatu tajwa!!

Dar ni habari ingine, sidhani kama inahitaji maelezo saaaaana, upana, population, urefu wa root za usafiri wa ndani vyote ni massive compare na mikoa tajwa.

Dar kwa mgeni shida ni hali ya hewa (joto) foleni za hovyo hovyo, uchafu na slums ni nyingi sana aisee kama magomeni, sinza, manzese ni tabu tupu!!!

Dar ina maeneo ya starehe mengi sana compare na majiji baki

Kuimaliza dar in a day as a city ni uongo huwezi!!

Ukifika mwanza usiishie mjini, chukua costa nenda mpaka kishiri alafu geuza nayo mpaka nyashishi

ukimaliza chukua costa nyashishi mpaka ilemela

then chukua costa ya ilalila via kiseke, saba saba mpka buhongwa bulale.

Rudi tena mjini panda hice nenda ibanda mlimani, shukia kitangiri mpaka mihama

ukimaliza panda hice kilimahewa mzunguko,

ukimaliza panda hice bwiru mpaka nyamhongoro,

ukimaliza panda hice malimbe mnangani mzunguko

Ukimaliza panda hice za mjimwema thaqhafa kilimahewa

Ukimaliza panda hice za nyasaka buzuruga mzunguko

Ukimaliza panda za hice mwananchi meko kangae (CBE)

ukimaliza pandacosta za usagara buhongwa kishiri kisesa,

Ukimaliza panda costa kisesa buswelu ilemela mahakama

Kama hizi root zote ukizipiga ndani ya siku moja basi we ni kiboko, MWANZA ni pana na kubwa na population kubwa!!

Mwanza vyakula cheap jamani, climatic condittion ni balanced!! I

Jiji la Mwanza ki mzunguko wa biashara ni mkubwa maana ndio hub ya mikoa jirani! Shinyanga, musoma, simiyu, geita na kagera!! Mwanza kuna watu jamani nadhani baada ya dar mwanza inafuta!! Mwanza jiji na wilaya zake(ilemela na nyamagana) watu wamejenga aisee

Mwanza kuna shida ya usafiri siku hizi, naona foleni za kujitakia, mwanza inaupungufu wa restaurants na maeneo ya familly outs.

Arusha ni mji populated only city centre. Unamajengo majengo mengi sana katikati ya mji,

Pembezoni nikawaida sana

umechangamka sana pale mjini, sio mpana kivile, ni mji unaweza maliza wote in aday!!

Arusha ina climatic condition nzuri sana inazidi mwanza na dsm.

arusha ni mji mdogo kwa ukubwa comparing with mwanza na dsm, uthibitisho bado arusha mjini wanatumia noa kama usafiri kwa baadhi ya maeneo, bado wana vi hice lakini root zao nifupi compare na mwanza na dsm

So kwangu mie kama tunazungumzia majiji

1. Dsm
2. Mwanza
3.ARUSHA
4. MBEYA
5.DODOMA

Sent using Jamii Forums mobile app
few roots arusha
town to ngaramtoni 9.1km
town to maji ya chai 27km
kilombero to majengo 5km
town to morombo 6km
town to chekereni 7 km
town to moshono 8.2km
kilombero to nduruma 18km
town to kisongo 14 km
towm to ilikidinga 7km
town to viwandani 8km
town to njiro 7km
town to murriet 8km

few root dar
town to mbagala
town to mbezi luis
gongo la mboto to mbezi via kinyerezi
town to mbezi beach
town to chanika
town to bunju

na zinginezo tafuta km za izo root compare afu unieleze how come arusha uimalize kwa one day root nyingi ziko sama in km ila utofauti n foleni na type ya population mfano mzuri ukiwa unatoka dar to kimara kote kuko populated ila kimara mwisho to mbezi katikati kuna magepu makubwa tu hayako populated sana namaanisha urefu wa root wa miji mitatu ya dar arusha mwanza tofauti ni foleni na na manthari au muonekana wa pembezoni mwa barabara unaposema arusha majengo mengi yako sehemu moja haujakosea ila kuna fact pia hujaeka arusha ina 10+ plus building nyingi kuliko the whole tanzania uki expect dar kuna uzi wa kisumu vs mwanza kuhusu 10 floor mwanza hazikupatikana tano ila nilimention 17 za arusha ambazo nazijua mm ko inamaanisha center ya jiji la arusha inavutia zaidi kwa ajili ya high rises building na kingine arusha nje ya mji unayosemea haijajengeka sijajua una implay wp maana ukienda kisongo hadi st margret kumejenga sabl square kote kumejengeka vizury mkuu sema hapatachangamka maana watu wake wengi ni watu busy afu unasema city center arusha ndio imechangamka hapana city center arusha saa 5 au sita inakua imepoa ukiachana na shivaz na pin point ila miji ya pembeni kama kijenge 4 km from center muriet uswahilini 5 km from center morombo 6 km from center majengo 4 km from center usa 19km from center plus mianzini kote huko kuko kumechagamka mpaka asubuhi kabisa afu ukiongelea kuhusu foleni sijui kuhusu mwanzaila arusha foleni ya kijenge only inatake about 1km foleni ya kona nairobi inatake about 0.6km foleni ya morombo foleni ta kutokea kona mbauda mpaka kilombero io usiku ni kama uko buguruni hujaongelea foleni ya uswahilini ya mianzini kwenda kidinga ila foleni zote hizo sio the whole day na kunafoleni ya florida mpaka mataa ya mianzini my take arusha foleni ipo na inazidi kuja kwa kasi jambo ambalo si la kujisifu na arusha dual carriage road ni ndefu in total kuliko za mwanza na ni highway huwezilinganisha upanuzi wa road to airport mwanza na wa arusha tengeru maana ya tengeru ukila na service road unahesabu gari nane na ujenzi wake n standard ya maana all in all arusha huwezi maliza kwa siku mbeya n ndogo kwa arusha ila sikumaliza mbeya kwa siku moja bado and in one hand mwanza ni big city kwa arusha in population na kifursa sema nje na hapo arusha na mwanza hakuna big dfrnt kila mtu kamzidi mwenzie kitu and mwanza ina control mikoa ambayo bado ina kaumasikini ila iko top ten ya mikoa yenye population kubwa arusha ana control mikoa ambayo iko top ten kwenye unafuu tanzania na haina population kubwa anyway mbeya nimepapenda kuliko kokote tz sema starehe hakuna huku viwanja
nisihukumiwe kisa uandishi wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa lakini kumbuka kazi na burudani. Kumbuka umri nao unaenda. Utarelax lini mama na maisha haya mafupi ? Lakini kupanga ni kuchagua. Kwangu mimi siwezi kuwa na hela ndefu halafu
nikaenda kuishi pale
Jangwani Kahama. Pale unafanya busy lakini makao rasmi Rocky City.

Na ndo akili zako zilipoishia hapo(jokes)!wenzako tunaangalia vitu vingi kaka!.Kahama ni hub fulan hv! Mwanzq ndugu wengi keroo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna sehemu naipenda Duniani Kama Arusha ... Chuga .....

Napapenda Sana... Huwa nikifika huku Arusha kusema kweli najiona tofauti kabisa kifikra , kiroho na kimtazamo... Asante Mungu kwa kuiumba Arusha ...

NB: Mimi sio mzaliwa wa arusha msije sema napapendelea home...

1576942846955.jpeg
1576942932316.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom