Siku uliyofika Jijini Arusha, Jijini Dar es Salaam au Jijini Mwanza kwa mara ya kwanza ulipaonaje?

nilipanona kama ifuatavyo

1. arusha
hapa nilipaona pa kiboyaaaa kupita maelezoo.yan Na lile neno A town nilivyokua nawaskia akina joh makin plus kale kamsemo kao ka "uswiz" ya afica nikawa napata picha sijui patakuaje.
anyway, just overated, tena kipind kile nafika nilikuta hamna hata stand maalum ya mabas inayo eleweka basi nikajione tabu tu.

2. Dar es salaam.
Hapa nilipaona a kawaida tu,sio pabaya lakin pia sio amazing kama nilivyokua napapatia picha.Pa kawaida tuuu.

3.Mwanza.
Hapa nilipaona at least amazing.Na seriously ni jiji linakua kwa kasi ya kutisha sana.Jinsi nilikua napapatia picha mwana aisee nikajiomba msamaha mwenyewe.Pako gud na lazima nijenge mwanza any time soon.
 
Arushaa babalaoo huko watu wanapesaa hatarii kazi za kutoshaa ...wazungu wako kama vile upo London imagine ukatize mitaa ya aicc kuja had I tanescoo balaaah tupu ujaenda njiro moshono. Kisongo na burka estate utapaelewaa arushaa. Kuwa upo mji wa kifahari na mahelaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiji la kwanza kufika ni Mwanza, la pili ni Dar es Salaam, la tatu ni Tangu, la nne ni Arusha na jiji la Dodoma japo kwangu mimi hilo bado halina hadhi ya jiji.

Nilipofika Mwanza nikashuka stand ya Nyegezi nilikuwa kwenye bus ya Ally's Sport ile ya zamani kwa mshangao wa kufika huko maana nilikuwa na shauku sana kwenda kuliona jinsi lilivyo, nilipaona ni pazuri sana.

Nikapokelewa na mwenyeji wangu tukapanda Hiace za kwenda mjini na kushushwa kituo cha daladala Rwagasore(sasa kishahamishwa). Kuyaona tu Maghorofa kwa juju hadi nikapigwa na bumbuwazi(hali ya kutotambua uelekeo sahihi ni upi, unaweza ukadhani upande fulani ni mashariki kumbe ni magharibi.

Baada ya kushuka Rwagasore tukapanda Taxi tukapelekwa Bugando kwenye yale maghorofa ya NHC ambapo ndio alikuwa akiishi mwenyeji wangu, tukiwa tunapandisha mlima kwenda Bugando tukipita zile kona kuanzia Mwanza sec mimi naendelea tu kushangaa na vitu vipya machoni mwangu.

Kufika juu Bugando nikaona Ziwa Victoria linalong'aa kwa upande wa Magharibi huku pembezoni pakipambwa na maghorofa ya mjini.

Kwa kweli nilipaona ni jiji zuri ila milima ndio ilikuwa inaboa sana.

Dar nilipokuja sikupashangaa sana maana nilikuwa nimeshazoea kuishi mjini, nilipaona pa kawaida ila foleni na joto ndio viliniboa sana.
Mimi mwanzoni udogoni nilipokuja huku nilipata tabu kweli na hii milima...nakumbuka nilikuwa na viatu fulani wanaviita moka ilikuwa kwenda kanisani navitumia bac ilikuwa ni fulu kuteleza na kuanguka kwenye mawe...kutoka home hadi mjini kati nilikuwa natumia muda mrefu kiasi.... Ila nilivyozoea ilikuwa maisha mazuri naruka ruka kwenye mawe na sianguki na pia ikawa inanichukua maximum dakika 5 kufika mjini kati coz spidi niliyokuwa nashuka nayo ilikuwa ya hatar..... Hata kupanda ilikuwa inanipa shida mwanzoni ila kwa sasa nilishazoea....
 
Mimi pia nilipazoea sana hiyo milima, kushuka town kutokea Bugando NHC ni dakika chache sana.
 
Mwaka juzi nilikuwa mwanza kwa mapumziko, hakuna sehemu ya maana ya chakula kila mwenyeji niliyempigia kumuuliza sehemu nzuri ya kupata msosi ni wapi aliishia kunitajia villa park, nikiwaambia hapo mahali chakula ni kibaya hakuna kwingine walibaki kunishangaa! Ukweli mwanza misosi ni noo niliishia kula tilapia hotel nilikokuwa nimefikia mpaka naondoka.

Hopeful kumebadilika, Mall yao ile kulikuwa na TSN supermarket haina vitu vya maana! Anyway majiji yetu ndio vile tena ila kila mtu na taste zake.
Issue ya chukula mwanza ni shida sana hawajui kupika ukitaka samaki bei ghali sana.

Huwa naend mwanza sana ikifika wakati wa chakula unaweza kumaliza mji kwa kutafut mahali wanapouza chakula kizuri ukakosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ya kwanza nafika Arusha na baada ya kuzunguka pale mjini...sasa ikabidi nimuulize mwenyeji wangu kuwa vipi ndiyo mji tumeumaliza wote? Akajibu yaani mpaka hapa mji wote tumeshauzunguka.

Kwa sifa nilizokuwa nazisikia kuhusiana na Arusha...ni tofauti kabisa na nilichokiona. Expectations zangu zilikuwa kubwa sana, lakini mji ule hauendani na sifa unazopewa.
Mhh! Wacha fix mzee baba
 
nilipanona kama ifuatavyo

1. arusha
hapa nilipaona pa kiboyaaaa kupita maelezoo.yan Na lile neno A town nilivyokua nawaskia akina joh makin plus kale kamsemo kao ka "uswiz" ya afica nikawa napata picha sijui patakuaje.
anyway, just overated, tena kipind kile nafika nilikuta hamna hata stand maalum ya mabas inayo eleweka basi nikajione tabu tu.

2. Dar es salaam.
Hapa nilipaona a kawaida tu,sio pabaya lakin pia sio amazing kama nilivyokua napapatia picha.Pa kawaida tuuu.

3.Mwanza.
Hapa nilipaona at least amazing.Na seriously ni jiji linakua kwa kasi ya kutisha sana.Jinsi nilikua napapatia picha mwana aisee nikajiomba msamaha mwenyewe.Pako gud na lazima nijenge mwanza any time soon.
Ni kweli mkuu..... Watu wakienda Arusha ama Dar huwa wana expect makubwa..... Mwisho wa siku hasa wale wa Arusha huishia kuwa disappointed..... Wanaoenda mwanza huwa wanategemea ni mji tu wakawaida hasa kutokana na wanavouchukulia huko dar na mikoani....hivyo wengi wakifika huuona ni mji mzuri kuliko walivyofikir.....japo si wote....Obviously you're on the right track....
 
Mwaka juzi nilikuwa mwanza kwa mapumziko, hakuna sehemu ya maana ya chakula kila mwenyeji niliyempigia kumuuliza sehemu nzuri ya kupata msosi ni wapi aliishia kunitajia villa park, nikiwaambia hapo mahali chakula ni kibaya hakuna kwingine walibaki kunishangaa! Ukweli mwanza misosi ni noo niliishia kula tilapia hotel nilikokuwa nimefikia mpaka naondoka.

Hopeful kumebadilika, Mall yao ile kulikuwa na TSN supermarket haina vitu vya maana! Anyway majiji yetu ndio vile tena ila kila mtu na taste zake.
Pamebadilika...! Panavutia...me nakulaga samaki tu...!na sehem za starehe zimeongezeka...kun bundesliga nk nk nk!
 
Ulikuwa ukitumia njia ya barabara au zile njia za uswazi?
Inategemeana nataka kutokea wapi(Rwagasore au Mwanza Sec) nikiwa naingia mjini.

Nikitaka kutokea Rwagasore kuna option 2. Unaweza kufuata barabara kupitia geti la Bugando halafu kwa mbele barabara inapokata kona kuelekea kaskazini mimi nanyosha na uchochoro natokea Rwagasore. Au naweza kutokea njia ya upande wa kaskazini mwa Ghorofa ya Hostel ya Wanafunzi iliyopo kwenye mteremko fulani hivi... naenda kutokea kwenye barabara inayokunja kona ya Mwanza Sec, hapo nitavuka barabara na kufuata uchochoro wa Shule ya St Joseph au uchochoro mwingine uliozoeleka na nitatokea Rwagasore
 
Inategemeana nataka kutokea wapi(Rwagasore au Mwanza Sec) nikiwa naingia mjini.

Nikitaka kutokea Rwagasore kuna option 2. Unaweza kufuata barabara kupitia geti la Bugando halafu kwa mbele barabara inapokata kona kuelekea kaskazini mimi nashonya na uchochoro natokea Rwagasore. Au naweza kutokea njia ya upande wa kaskazini wa Ghorofa ya Hostel ta Wanafunzi iliyopo kwenye mteremko fulani hivi... naenda kutokea kwenye barabara inayokunja kona ya Mwanza Sec, hapo nitavuka barabara na kufuata uchochoro wa Shule ya St Joseph au uchochoro mwingine uliozoeleka na nitazokea Rwagasore
Sawa mkuu...... Inaonekana ww ni mwenyej sana....
 
Sawa mkuu...... Inaonekana ww ni mwenyej sana....
Nimeishi huko kwa miaka 4, ndio nilisomea huko O-level.

Likizo zote za terminal nilikuwa nazipigia hapo, kwa hiyo nilikuwa nazurara sana ukizingatia ukiwa huna nauli unaamua unyoshe goti
 
Back
Top Bottom