cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,483
- 188,344
Hii inatishaa sanaa, Duuh Ugonjwa umekaa sehemu mbayaa.
Hii inatishaa sanaa, Duuh Ugonjwa umekaa sehemu mbayaa.
Hizi takwimu ni za kweli?
ngono iliyopo mitandaoni ni kubwa kuliko iliyopo nje ya mitandaoni ya kijamii.Mimi nimemaliza chuo kinachosemwa kinaongoza kwa ngono lkn kipindi nipo chuo hio ngono nilikua siioni zaidi ya wabwia unga
Kwahiyo hutaki raha?nilisha ghairi, hamna sababu tena 🙄
Dogo acha kutisha watu.
Itakuwa umedakwa mkuu 😂Unakaa kwa utu na utulivu miaka na miaka, siku unasema sasa nimechoka, nichepuke ndio na yeye anabadilika🙄.
Ni zaidi ya hapoHii ni ripot rasmi au???
Mbona inatisha
Acha kufokea watu
Nakumbusha tu , watu wanajisahau sanaAcha kufokea watu
Wamewekwa wapi hao watu? Quarantine auNakumbusha tu , watu wanajisahau sana
Wanazurura mtaani , pia wapo ambao hawatumii dawa , wapo wenye maambukizi mapyaWamewekwa wapi hao watu? Quarantine au
Nashauri wakamatwe haraka sanaWanazurura mtaani , pia wapo ambao hawatumii dawa , wapo wenye maambukizi mapya
Kakukosesha uhondo.sasa si kabadilika kaanza kunipa furaha 🙂 sina sababu tena
Data gani?kwanza data zenu zinatisha, sirudii 😀