David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,541
- 8,339
Akishajua kuwa umechepuka usirudi kulia lia kuomba ushauriUnakaa kwa utu na utulivu miaka na miaka, siku unasema sasa nimechoka, nichepuke ndio na yeye anabadilika🙄.
Akishajua kuwa umechepuka usirudi kulia lia kuomba ushauriUnakaa kwa utu na utulivu miaka na miaka, siku unasema sasa nimechoka, nichepuke ndio na yeye anabadilika🙄.
Huko vyuoni ni hatari , miaka sisi tunasoma uzinzi ulikua wa kutisha , sasa hiv naona ndio kutakua kumegeuka madanguro kabisa, kiwango cha maambukizi ni cha kutishaWanaodondoka hao wenye ngoma ya gen Z ila wenye ngoma tokea inaitwa Juliana wakasurvive kimbunga cha mwaka 90's bado wanadunda
Mimi nimemaliza chuo kinachosemwa kinaongoza kwa ngono lkn kipindi nipo chuo hio ngono nilikua siioni zaidi ya wabwia ungaHuko vyuoni ni hatari , miaka sisi tunasoma uzinzi ulikua wa kutisha , sasa hiv naona ndio kutakua kumegeuka madanguro kabisa, kiwango cha maambukizi ni cha kutisha
Kile kwenye kutupa connection kipo vizuri😅Mimi nimemaliza chuo kinachosemwa kinaongoza kwa ngono lkn kipindi nipo chuo hio ngono nilikua siioni zaidi ya wabwia unga
Sasa hivi kishapata mpinzaniKile kwenye kutupa connection kipo vizuri😅
Ila kina pis zimenyooka😅Sasa hivi kishapata mpinzani
Wewe tena!Ila kina pis zimenyooka😅
nchi gn bro
Kina watoto wa kishua wavunja keki😅Wewe tena!
Hiyo ya Tanzania mkuu, hawa ni wale waliungwa kwenye gridi ya taifa bado ambao hawajaingia kwenye mfumo wa kutambulikanchi gn bro
Sio wote! Watoto wa wakulima tulijaa kibwena ila kuna watoto walotoka Alpha Feza wakiwa 1st year huwa wanajitengaKina watoto wa kishua wavunja keki😅
DahaaHiyo ya Tanzania mkuu, hawa ni wale waliungwa kwenye gridi ya taifa bado ambao hawajaingia kwenye mfumo wa kutambulika
Ndio hivyo bwasheeDahaa
Mtu ananawiri vizuri,Halafu zile dawa za kipuuzi sana , akiaanza zimtumia hips zinachomoza na shavu dodo , unaona uiloweke tu
Chepuka tu, raha jipe mwenyewe.Unakaa kwa utu na utulivu miaka na miaka, siku unasema sasa nimechoka, nichepuke ndio na yeye anabadilika🙄.
Vyuoni ni hatari kaka. Kama mshamba wa fakufaku, utasahau hata kilichokupeleka. Kifupi ni kwamba Jini mahaba kama kweli yupo basi vyuoni ndo nyumbani kwake.Huko vyuoni ni hatari , miaka sisi tunasoma uzinzi ulikua wa kutisha , sasa hiv naona ndio kutakua kumegeuka madanguro kabisa, kiwango cha maambukizi ni cha kutisha
KabisaVyuoni ni hatari kaka. Kama mshamba wa fakufaku, utasahau hata kilichokupeleka. Kifupi ni kwamba Jini mahaba kama kweli yupo basi vyuoni ndo nyumbani kwake.