Lol.... Mimi natamani kuziona hizo za mfukoniMimi nimeziweka kwenye fail humu humu lakini nimeliwekea password. Vile vile nimehifadhi kopi kwenye usb, just in case. Nyengine nimechapisha kwa herufi kubwa na kupachika pembeni ya kitanda, na mbili tatu ninatembea nazo mfukoni kama hirizi - lol!
Khaaa! Mwalimu gani unampiga mkwara mwanafunzi? Lol
Siku Mayowe yakiongea
Haha!.. Nazifowadia sasahivi untunzie kwa matumizi ya baadae... Sawa mwalimu eeh?niforwadie pms zote alizokutumia mtu fudenge. Sawa swahiba? Ukileta ubishi nakupa supp. Mwalimu niko serious.
private message
Mimi nimezi-print nimezibandika ukutani na mlangoni..
Mimi nimeziweka kwenye fail humu humu lakini nimeliwekea password. Vile vile nimehifadhi kopi kwenye usb, just in case. Nyengine nimechapisha kwa herufi kubwa na kupachika pembeni ya kitanda, na mbili tatu ninatembea nazo mfukoni kama hirizi - lol!
tunatofautiana matumizi ya vitu, unaweza kuta wengine wanapanga kushika mitutu humu humu, wewe tumizi lako ni hilo
Pole....wewe umelijua hilo leo..uwe unatumia na zile ID zako zingine hii tumeishaizoea sana.Mtu kama hajui anaweza akasema hii thread imechangiwa na mtu zaidi ya mmoja.
Watayaona wenywe!
Kwanı chawawashıanı?!!
Sıku PM zıkıongea mı ntaıbuka kıdedea coz sıjawahı tongoza ke kuptıa pm zaıdı ya kumsıfıa ke kwa eıther how polıtely ıs she or just the way she reply to others posts!
Haha!.. Nazifowadia sasahivi untunzie kwa matumizi ya baadae... Sawa mwalimu eeh?
Kwani PM ni kitu gani?
Lol...kwa mtindo huu za kwako wala sizibandiki na zile zingine ngoja nizibandue ukutani kabisa.Ole wako nikija kufanya ukaguzi nikute zangu.Nakuretea riafande rikufunze adabu.