siku palapanda ikilia mtu mzima money stunna nitanyakuliwa kama hivi

537741_549155258445455_587745471_n.jpg

jukwaa la siasa wengi wataingia pepon sababu hoja za pale zinaonyesha watu wana uchungu na sana na taifa na wanapigania maskin waishi maisha bora,afya kwa kila mtu,jukwaa la MMU sina uhakika
 
walokole bwana!!huko mbinguni kumbe tunaenda na nguo zetu visuruali vilivyobana vinguo vifupi ,mabegi mgongoni eeee .kweli bado sana injili haijahubiriwa na yesu wenu kurudi bado sana.injili haijaeleweka watu wanakula sadaka tu

Hiyo ni picha ya mfano tu kuonyesha itakavyokuwa. Vitu vyote vinavyoharibika vitabaki duniani, hata miili yetu ya kuharibika itabaki hapa, maana itabadilishwa na tutakuwa na miili mipya isiyoharibika.
 
We nidanganye danganye 2 Ukinambia Ukweli ntaumia... hata kama ni Uuongo ,, nidanganye........ Ahhhh .,,,,,, Sheta she shsheeta.
 
lets sing together

parapanda italia paranda
jf members watakuwa wakuwa wamekwisha nyakuliwa
(kwenda)kumlaki bwana mawinguni
 
MH!!! nimerelax kidogo baada ya kutoka kwenye critique za research proposal! WATEULE WATANYAKULIWA KWENDA KUMLAKI ....
 
walokole bwana!!huko mbinguni kumbe tunaenda na nguo zetu visuruali vilivyobana vinguo vifupi ,mabegi mgongoni eeee .kweli bado sana injili haijahubiriwa na yesu wenu kurudi bado sana.injili haijaeleweka watu wanakula sadaka tu

Kwani si wanasema siku hiyo hakuna aijuae, mana wamama wawili watakuwa wanasaga nafaka ,mmoja wao "atanyakuliwa" kwa maana kwamba hakuna kujiaandaa siku hiyo! so usishangae watanyakuliwa na mavazi yao pia na vijibegi vyao mgongoni!
 
Kwani si wanasema siku hiyo hakuna aijuae, mana wamama wawili watakuwa wanasaga nafaka ,mmoja wao "atanyakuliwa" kwa maana kwamba hakuna kujiaandaa siku hiyo! so usishangae watanyakuliwa na mavazi yao pia na vijibegi vyao mgongoni!

hiyo ni picha ya mfano tu kuonyesha itakavyokuwa. Vitu vyote vinavyoharibika vitabaki duniani, hata miili yetu ya kuharibika itabaki hapa, maana itabadilishwa na tutakuwa na miili mipya isiyoharibika.
soma hayo maneno hapo stiil ni long process sio unavofikiri na waliokufa je !si inasemekana watafufuliwa inamaana wataendaje?
 
View attachment 74988View attachment 74988View attachment 74988

apo moja moja mpaka kwa mungu,kutakuwa hakuna njaa tena wala magonjwa,vifo nitaishi milele na kumtukuza mungu


"Na kama vile watu wnavyowekewa kufa mara moja na baada ya kufa hukumu: kadahalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka maramoja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao watazamiao kwa wokovu". .....

Waebrania 9: 27-28

Watakaonyakuliwa ni WATAKATIFU tu, ambao hawakuishi maisha ya dhambi hapa duniani. Maombi yoyote ya kumwombea marehemu Mungu amrehemhu ni kudanganyana tu. Kama mtu alikufa akiwa mwenye dhambi hata mngeomba kwa mbwembwe kiasi gani, hiyo haitasaidia kitu. Kumbuka baada ya kifo ni hukumu inafuata hakuna "negotiations" tena.

Utakatifu ni hapa hapa duniani. Na anayetoa utakatifu ni Yesu, baada ya kutubu na na kumfanya kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako. Kubali kuishi maisha matakatifu kwa msaada wa Yesu pekee.

Zaburi 16:3 "Watakatifu waliopo duniani ndio walio bora, hao ndio niliopenedzwa nao"
 
mara ya mwisho kuhudhuria mazishi ya kikristo ni lini? Mimi nimeudhuria last 2sunday na nimesikia hivo.so go and correct quote yako ya udini

haya basi kwa Mungu wataenda wasafi sana make watakua wamekamuliwa mpaka kinyesi
 
Back
Top Bottom