Siku niliyotamani kiama

Siku niliyotamani kiama

Mrs Gudman

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
613
Reaction score
1,300
Ee bhana eeh hapa duniani huwaga kuna nyakati ngumu sana ambapo unaweza tamani kiama kitokee utoweke kuliko fedhedha au hali flani ya aibu na maumivu yanayokukuta .

Leo nimekumbuka tukio moja ambalo siwezi lisahau maisha yangu yote ,nilikuwa advance enzi hizo miaka kadhaa ilopita ticha wa kemia akasema kutakuwa na test(Physical chemistry) test enyewe ni swali moja tu la calculation na mfano wa hilo swali tushafanya na nimeelewa vizuri tu ,basi buana siku kaa mbili hivi kila mtu anajiandaa .

siku ya mtihani ikafika swali likaja lile lile hadi data hazijabadilika lina marks 25 na lipo moja tu,tukagawiwa karatasi tukapewa dakika tano tusome swali ,nilipoliona swali nikafurahi pia mana naona kabisa 25 yote nachukuwa ha ha

Nikachukua karatasi nikaandika jina ile nashika tu peni nianze kuandika data ,akili ikafuta kila kitu hata kucollect data siwezi yani sielewi ,nikawa najaribu nikumbuke basi hata fomula itanisaidia kucollect data nikashindwa pia kukumbuka fomula ,kumbuka hilo swali nalijua na nimelisoma vilivyo.

Dah nikawa naangalia pembeni je wenzangu wanafanya? kiukweli darasa nzima kila mtu alikuwa bize kukokotoa isipokuwa mimi tu.

Teacher anapita anaangalia jinsi watu wanafanya naona anapita kwangu mimi nimeandika tu jina huku zishatangazwa zimebaki dk 15 tu time iishe.

Nikainama juu ya dawati nikawa nasali Mungu anikumbushe kanuni ,kiukweli sikukumbuka ,nikakemea pepo la usahaulifu wapi mwisho wa siku nikabadili maombi ,nikawa natamani litokee janga lolote tetemeko au kiama woote tutoweke tu kuliko vile majibu yanavyoenda kuwa mimi nina 0/25 wenzangu wooote wana 25/25

Maombi hayo pia Mungu akuyajibu ,nikasikia pens down ,tukakusanya mimi nimeandika jina tu.

Kila mtu anafuraha vicheko na kumshukuru teacher kwa ile feva ,ilibidi niende tu bwenini kulala

Majibu yalitoka robo tatu ya darasa ilipata 25/25 mimi nikapata 2/25 hizo 2 niliwekewa tu kama zawadi ya kuandika jina na kuaribu karatasi ha ha.

Kitu gani kimewahi kukupata kama mimi???
#TIRIRIKA
#TUNATOKAMBALI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm juzi tu hp tulikuwa na dua nyumbani cc ni waislam ss sura zilikuwa nyingiiiii kila mmoja akapewa zke ww utasoma sura flani ziwe 40 yule atasoma sura flani ziwe 60 na kadhalika mm nilipewa sura nyepesiiiii na nnaijua hainisumbui hata kdg coz nilipita madrasa bc umefika muda wa kuanza kusoma bakhti nzr tunasoma kwa pamoja ila kila mmoja anasoma chake bc mm nikatembelea nyota zle sauti za wenzangu wanaosoma sikusoma hata sura moja yaani kila nikijaribu naishia "bismillahi" memory haiji kabsaaaaaa cjui ni nn huwa kinatokea!

Mwaka gani huo mzee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna day nimekula mtungi sana kuanzia mida ya asubuhi hivi saa nne. Nililewa sana asee kiasi kwamba mpaka saa tisa hivi alasiri nilifanya kubebwa nipelekwe home.

Nikaingia chumbani nikavua nguo zote nikalala, mida ya saa 12 jioni mkojo umebana nikasema ngoja nitoke nje nikakojoe.. Ile natoka na wenge langu uchi wa mnyama kumbe watu wamekaa nje bi mkubwa na mashangazi walikimbia ghafla sikuona mtu nilirudi ndani kwa aibu hata mkojo sikuusikia tena.

Niliona aibu sana nikawa nafanya kuamka asubuhi kabla ya wote nasepa kama week hivi. Nikaona bora nihame home tu nisije kuzua mengine. Nikakaa mda sana bila kula mtungi. Saivi nakunywa kistaarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa.lakini hamna kati yenu mtu aliyewahi kumtongoza demu shuleni kwa barua enzi hizo halafu demu anaamua tu kukuzodoa yaani.

Niko class enzi za la sita b,mara paap tony huyu hapa (yeye alikuwa la tano)na barua nililoandika kwa madoido,afu nilikuwa naaminiwa kwa ustaarabu,nature ukijumlisha na mtoto wa mwalimu basi nikajua hamna mbuyu utanishinda,weee.

Basi bidada kaja kaifungua barua kanichambua,kanipaka,niko nawaza si iwe ndoto tu jamani,hii ni nini sasa!!!basi sikujibu kitu nikawa nimejiinamia tu chini washkaji wanacheka balaa.nilijifunza kitu kuanzia hapo,siparamiagi watu hovyo hovyo,namimi usiniparamie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee yapo matukio ambayo siwezi kuyasahau katika maisha yangu, hili pia ni mojawapo.

Nakumbuka wakati nasoma primary kama sikosei ilikuwa darasa la 4; tulikuwa tunajiandaa na mitihani ya kufunga shule. Tulichaguliwa wanafunzi wa 3 tunaojiweza darasani, tuliahidiwa mmoja kati yetu atakayeshika namba 1 atapata zawadi nono (hatukuambiwa ni zawadi gani) ilikuwa kama kitendawili. Basi siku ya mitihani ikafika, lakini kabla hata ya kufanya mitihani, mimi nilipania sana, nilijua hakuna atakayenishinda maana sikuwahi kushindwa mtihani, wala kutoka nje ya 3 bora.

Tukafanya mitihani, tukamaliza walimu baada ya kuhisahihisha hawakuigawa, walisubiri mpaka siku ya kufunga shule unapewa mitihani pamoja na matokeo. Aisee siku ikafika, maajabu mimi sikupata mitihani, wala matokeo yangu tulitafuta kwenye ofisi zote za walimu hatukuiona, nililia sana, sijui walinifanya nini kuanzia siku hiyo nikawa masomo siyaelewi kuna wakati nikiwa eneo la shule kichwa kinaniuma sana, nilikuja kutulia baada ya kumaliza shule kwa tabu!
 
Kuna day nimekula mtungi sana kuanzia mida ya asubuhi hivi saa nne. Nililewa sana asee kiasi kwamba mpaka saa tisa hivi alasiri nilifanya kubebwa nipelekwe home.

Nikaingia chumbani nikavua nguo zote nikalala, mida ya saa 12 jioni mkojo umebana nikasema ngoja nitoke nje nikakojoe.. Ile natoka na wenge langu uchi wa mnyama kumbe watu wamekaa nje bi mkubwa na mashangazi walikimbia ghafla sikuona mtu nilirudi ndani kwa aibu hata mkojo sikuusikia tena.

Niliona aibu sana nikawa nafanya kuamka asubuhi kabla ya wote nasepa kama week hivi. Nikaona bora nihame home tu nisije kuzua mengine. Nikakaa mda sana bila kula mtungi. Saivi nakunywa kistaarabu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm juzi tu hp tulikuwa na dua nyumbani cc ni waislam ss sura zilikuwa nyingiiiii kila mmoja akapewa zke ww utasoma sura flani ziwe 40 yule atasoma sura flani ziwe 60 na kadhalika mm nilipewa sura nyepesiiiii na nnaijua hainisumbui hata kdg coz nilipita madrasa bc umefika muda wa kuanza kusoma bakhti nzr tunasoma kwa pamoja ila kila mmoja anasoma chake bc mm nikatembelea nyota zle sauti za wenzangu wanaosoma sikusoma hata sura moja yaani kila nikijaribu naishia "bismillahi" memory haiji kabsaaaaaa cjui ni nn huwa kinatokea!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilinitokea hiyo o level kny paper ya kemia ya practical ktk mtihani wa necta,sikufanya kitu kwa kweli,na hiyo ndio ilipelekea nisipate div one,nikaishia kupata div two ya kwanza,hata hivyo namshukuru mungu sikupata F kemia bali D,inaonekana paper ya theory ndiyo iliyonibeba
 
Kuna day nimekula mtungi sana kuanzia mida ya asubuhi hivi saa nne. Nililewa sana asee kiasi kwamba mpaka saa tisa hivi alasiri nilifanya kubebwa nipelekwe home.

Nikaingia chumbani nikavua nguo zote nikalala, mida ya saa 12 jioni mkojo umebana nikasema ngoja nitoke nje nikakojoe.. Ile natoka na wenge langu uchi wa mnyama kumbe watu wamekaa nje bi mkubwa na mashangazi walikimbia ghafla sikuona mtu nilirudi ndani kwa aibu hata mkojo sikuusikia tena.

Niliona aibu sana nikawa nafanya kuamka asubuhi kabla ya wote nasepa kama week hivi. Nikaona bora nihame home tu nisije kuzua mengine. Nikakaa mda sana bila kula mtungi. Saivi nakunywa kistaarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaaa....bora ulihama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom