Hahaha!!..aiseeKuna day nimekula mtungi sana kuanzia mida ya asubuhi hivi saa nne. Nililewa sana asee kiasi kwamba mpaka saa tisa hivi alasiri nilifanya kubebwa nipelekwe home.
Nikaingia chumbani nikavua nguo zote nikalala, mida ya saa 12 jioni mkojo umebana nikasema ngoja nitoke nje nikakojoe.. Ile natoka na wenge langu uchi wa mnyama kumbe watu wamekaa nje bi mkubwa na mashangazi walikimbia ghafla sikuona mtu nilirudi ndani kwa aibu hata mkojo sikuusikia tena.
Niliona aibu sana nikawa nafanya kuamka asubuhi kabla ya wote nasepa kama week hivi. Nikaona bora nihame home tu nisije kuzua mengine. Nikakaa mda sana bila kula mtungi. Saivi nakunywa kistaarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna day nimekula mtungi sana kuanzia mida ya asubuhi hivi saa nne. Nililewa sana asee kiasi kwamba mpaka saa tisa hivi alasiri nilifanya kubebwa nipelekwe home.
Nikaingia chumbani nikavua nguo zote nikalala, mida ya saa 12 jioni mkojo umebana nikasema ngoja nitoke nje nikakojoe.. Ile natoka na wenge langu uchi wa mnyama kumbe watu wamekaa nje bi mkubwa na mashangazi walikimbia ghafla sikuona mtu nilirudi ndani kwa aibu hata mkojo sikuusikia tena.
Niliona aibu sana nikawa nafanya kuamka asubuhi kabla ya wote nasepa kama week hivi. Nikaona bora nihame home tu nisije kuzua mengine. Nikakaa mda sana bila kula mtungi. Saivi nakunywa kistaarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ni aibu kubwa.Kuna day nimekula mtungi sana kuanzia mida ya asubuhi hivi saa nne. Nililewa sana asee kiasi kwamba mpaka saa tisa hivi alasiri nilifanya kubebwa nipelekwe home.
Nikaingia chumbani nikavua nguo zote nikalala, mida ya saa 12 jioni mkojo umebana nikasema ngoja nitoke nje nikakojoe.. Ile natoka na wenge langu uchi wa mnyama kumbe watu wamekaa nje bi mkubwa na mashangazi walikimbia ghafla sikuona mtu nilirudi ndani kwa aibu hata mkojo sikuusikia tena.
Niliona aibu sana nikawa nafanya kuamka asubuhi kabla ya wote nasepa kama week hivi. Nikaona bora nihame home tu nisije kuzua mengine. Nikakaa mda sana bila kula mtungi. Saivi nakunywa kistaarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipanic furaha ikavuruga mtima na ubongo wake alitakiwa asipoteze muda kwa kusali alitakiwa aanze kujipa zoezi la kuepuka kupanic
Hiii nimechekaIlikuwa twende ukweni kutoa Mahali sasa kwa shy nikaona nile tungi la kutosha ili nisone shy daa si nikazidisha ikabidi msindikizaji wangu anishauri nile ndizi mbivu ili harufu itoke si unajua Serengeti ilivyo.Nikanunua ndizi nikaona mbona bado si akashauri ninunue packet ya maziwa Lato fresh milk ninywe kukata kilevi aisee kumbe nimeharibu tumbo likaanza kuunguruma gesi tumboni ikajaa mida ikafika mezani tukakaa mezani aisee Shuzi si likanitoka tena la sauti kama talumbeta kubwa aisee nilitamani kipindi cha kukabidhiana mahali kiishe mapema aisee.NIMEJAMBA MBELE ZA WAKWE
Sent using Jamii Forums mobile app
KweliAlipanic furaha ikavuruga mtima na ubongo wake alitakiwa asipoteze muda kwa kusali alitakiwa aanze kujipa zoezi la kuepuka kupanic
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh hiyo tena usiseme nina ushuhuda wake pia c mchezoHivi vitu ni kawaida mkuu, hutokea pia kwenye oral interview, unajikuta mzee unaweza Hata kusahau jina lako.. Wale panel members huwa wana enjoy saana
2011
Real
Hahahaha.Hivi vitu ni kawaida mkuu, hutokea pia kwenye oral interview, unajikuta mzee unaweza Hata kusahau jina lako.. Wale panel members huwa wana enjoy saana
Kuna siku kaja Mgeni nyumbani na Gari lake Kaweka Funguo Mezani mimi huyo si nikachukua Funguo nikaendeshe Gari duh niligonga Gari la watu Mbele na Nyuma Vibaya mno Nikagonga Ukuta Nusu Nidumbukize Gari Chooni Dah Nilihisi naota
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa, embu ielezee kidogo mkuu.Mmh hiyo tena usiseme nina ushuhuda wake pia c mchezo
Hahaa, kumbe ukiwa katikati ya Wale panel members Hali huwa nzito almost Kwa kila mtuHahahaha. Nilishakutwa na hiyo hali afu nilikuwa nimedanganya kwenye CV niliandika uongo mwanzo mwisho. Kumbe na jamaa aliyekuwa amenitangulia kuingia kwenye interview alikuwa kama mimi na alishtukiwa. Sasa mimi nilivyoingia jamaa wakauliza swali LA kizushi kujua ni kama yule aliyepita nikaishia kumtolea macho tuu. Nilitoka jasho aisee hadi jamaa ananiuliza tukupe maji? Nikamwambia kausha! Jamaa waliishia kuni enjoy tuu!! Dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana aisee. Lazima ubahe tuu kwanza!!Hahaa, kumbe ukiwa katikati ya Wale panel members Hali huwa nzito almost Kwa kila mtu
Mkuu umetishaIlikuwa twende ukweni kutoa Mahali sasa kwa shy nikaona nile tungi la kutosha ili nisone shy daa si nikazidisha ikabidi msindikizaji wangu anishauri nile ndizi mbivu ili harufu itoke si unajua Serengeti ilivyo.Nikanunua ndizi nikaona mbona bado si akashauri ninunue packet ya maziwa Lato fresh milk ninywe kukata kilevi aisee kumbe nimeharibu tumbo likaanza kuunguruma gesi tumboni ikajaa mida ikafika mezani tukakaa mezani aisee Shuzi si likanitoka tena la sauti kama talumbeta kubwa aisee nilitamani kipindi cha kukabidhiana mahali kiishe mapema aisee.NIMEJAMBA MBELE ZA WAKWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa sasa ungepewa Mlango ushuke nao mwenyewe ingekuaje apo ShekheMm juzi tu hp tulikuwa na dua nyumbani cc ni waislam ss sura zilikuwa nyingiiiii kila mmoja akapewa zke ww utasoma sura flani ziwe 40 yule atasoma sura flani ziwe 60 na kadhalika mm nilipewa sura nyepesiiiii na nnaijua hainisumbui hata kdg coz nilipita madrasa bc umefika muda wa kuanza kusoma bakhti nzr tunasoma kwa pamoja ila kila mmoja anasoma chake bc mm nikatembelea nyota zle sauti za wenzangu wanaosoma sikusoma hata sura moja yaani kila nikijaribu naishia "bismillahi" memory haiji kabsaaaaaa cjui ni nn huwa kinatokea!
Sent using Jamii Forums mobile app