Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,507
- 5,736
Vile vitu usipovipitia mda mrefu vinapotea taratibu yan kichwaniIzaa jaa ndg yng huwezi amini hadi nikajishangaa nna nn?
Vile vitu usipovipitia mda mrefu vinapotea taratibu yan kichwaniIzaa jaa ndg yng huwezi amini hadi nikajishangaa nna nn?
Vijombaa vinakuwagaa vimbeaa aiseeEksheni kama hii ilinitokea nikiwa nasoma chuo halafu naishi kwa sista na nashea rum moja na wajomba hahaaaaaa
Siku ya kwanza niligonga mzigo wakat sista hayupo,madogo wakausoma mcgezo wakamwambia sista,siku ya pili mtoto kaja na sista akajifanya katoka,ile twaingia rum naanza msaula bint mara sista akaniita sebuleni,akanipa full mkanda,akamuita bint,akamtoa baruti,ila nashukuru tuliyamaliza wawili
Kweli ndg!Vile vitu usipovipitia mda mrefu vinapotea taratibu yan kichwani
Ha ha hatuparamiani aissSawa.lakini hamna kati yenu mtu aliyewahi kumtongoza demu shuleni kwa barua enzi hizo halafu demu anaamua tu kukuzodoa yaani.
Niko class enzi za la sita b,mara paap tony huyu hapa (yeye alikuwa la tano)na barua nililoandika kwa madoido,afu nilikuwa naaminiwa kwa ustaarabu,nature ukijumlisha na mtoto wa mwalimu basi nikajua hamna mbuyu utanishinda,weee.
Basi bidada kaja kaifungua barua kanichambua,kanipaka,niko nawaza si iwe ndoto tu jamani,hii ni nini sasa!!!basi sikujibu kitu nikawa nimejiinamia tu chini washkaji wanacheka balaa.nilijifunza kitu kuanzia hapo,siparamiagi watu hovyo hovyo,namimi usiniparamie.
Sent using Jamii Forums mobile app
He he he braza we umetishaIlikuwa twende ukweni kutoa Mahali sasa kwa shy nikaona nile tungi la kutosha ili nisone shy daa si nikazidisha ikabidi msindikizaji wangu anishauri nile ndizi mbivu ili harufu itoke si unajua Serengeti ilivyo.Nikanunua ndizi nikaona mbona bado si akashauri ninunue packet ya maziwa Lato fresh milk ninywe kukata kilevi aisee kumbe nimeharibu tumbo likaanza kuunguruma gesi tumboni ikajaa mida ikafika mezani tukakaa mezani aisee Shuzi si likanitoka tena la sauti kama talumbeta kubwa aisee nilitamani kipindi cha kukabidhiana mahali kiishe mapema aisee.NIMEJAMBA MBELE ZA WAKWE
Sent using Jamii Forums mobile app