Siku nikiamua kuoa

Kila la kheri, ila huyo ulomtaja mwenye hizo sifa hapa duniani hakuna kajaribu sayari nyingine unaweza bahatika.
 
Unataka mwanamke ambaye atakuwa ni mama wa nyumbani 100% wakati huo huo hutaki awe tegemezi! Nadhani aina hiyo ya mwanamke unayo itaka walikufa kwenye ajali ya Mv. Bukoba
 
1,2na 10 navyo penda marafiki umbea na uchunguzi harafu useme nisijue kipato chako my wangu hapana yaani MWANAMKE wa SIFA. Hizo bado hajaumbwa ndio kwanza hata huo udongo wa kuanza kumfinyanga bado Mungu hajauandaa
Unapenda Misifa wewe ndo Maana unapenda Umbea, nani kakwambia Nyie Mmeumbwa kwa Udongo, Nyie ni pande letu na Nyama ya Ubavu hebu kaa kwa Kutulia achana na Kujua Kipato cha Mumeo Eboooo !

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Siku nikiamua kuingia kwenye gereza la kujitakia mwenyewe nitahakikisha ninaoa mwanamke wa aina hii:

1: Mwanamke asiyekuwa na vikundi vya marafiki!
2: Mwanamke mama wa nyumbani percent
3: Mwanamke aliyekuwa mjuwaji
4: Mwanamke mwenye hofu ya Mungu
5: Mwanamke asiyetumia kilevi chochote
6: Mwanamke asiyekuwa tegemezi kwao kwa asilimia
7: Mwanamke asiyekuwa mmbea na mchoyo
8: Mwanamke asiyekuwa na Mtoto kabla yangu
9: Mwanamke aliyekulia kwenye ndoa ya baba na mama
10: Mwanamke asiyeweza kugundua kipato changu hadi anaingia kaburini!

N:B
Sijajikita kabisa kwenye umbo la Mwanamke kabisa kuhusu urefu ama ufupi, kuhusu unene wala wembamba, kuhusu rangi wala kabila maana mimi sio muumbaji siwezi kuumba hata sisimizi
Hiyo siku ya harusi yako usisahau kutenga eneo letu wavutaji bange wenzako mdogo wangu... ipendeze kama litakuwa pembeni kidogo na eneo la vinywaji
 
Mawazo ya ujana mara nyingi hubanwa na fikra danganyifu. Ndoa ni dhana Pana sana ambayo ndani inabeba ujumbe mzito uliojificha ndani ya neno "MILELE".
 
Back
Top Bottom