Siku nduguye SLAA alioza Binti yake huko USA.

Siku nduguye SLAA alioza Binti yake huko USA.

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,635
Reaction score
6,235
Tafadhali, usitake kufahamu ni SLAA yupi. Ukimuangalia tu, utafahamu ni yupi 🙂 .... Cheers!!!!!

Nakutakieni Jumanne njema.
 
Last edited by a moderator:
Lmao... this is hilarious.nasikitika kwanini ckudance siku nilipooa.ktk jubelee i swear lazima nitadance angalau old skool moja.
 
Mkuu, kucheza ni LAZIMA. Ila kama hukucheza, basi hata kuadhimisha ndoa yako kama ulivyosema ni poa sana.

Ila kali zaidi ni kufanya kama alivyofanya huyu jamaa, kucheza na Binti yake kwenye harusi maana inaonekana Baba na Binti kweli ni damu damu na wameshacheza sana sana. Baba naye, mhhhh!!! Inaonekana enzi zake alikuwa King Of Dancehall.
Lmao... this is hilarious.nasikitika kwanini ckudance siku nilipooa.ktk jubelee i swear lazima nitadance angalau old skool moja.
 
Back
Top Bottom