Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,084
- 8,860
Sijaelewa hii story maudhui yake nini ?
Kwa kifupi those days bandari ilikuwa ni mali ya Mzee Janguo na kabla wapemba hawajatuharibia kujilipuwa tulikuwa tukienda UK kama unavyokwenda South Africa tu kwa sasa bila kuomba viza ubalozini, sasa kama manoti unayo ni kwa nini weekend usilikwee BA to Heathrow London? Mambo yamebadirika sana.
Ha ha ha hakuna kiongozi wa hivyo Afrika...endelea kuamini hivyohivyo
Ni kweli kabisa...maana huyu Mzee MS asipotia mambo ya udini huwa hapati raha kabisaKwa Mara kwanza Maalim nadiriki kusema umetuletea kisa kizuri kisicho na mawaa ya imani Wala malalamiko. Una kumbukumbu nyingi
Will you???Everyone including himself knew he will not touch Paradise door
Siri kali[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hadithi nzuri, siku nyingine tuelezee kuhusu hiyo "club" ya kina chande na Mzee wako..
Lol...Mzee wetu Mohamed Said asante kwa kutujuza ya Chande, hakika alikuwa mzalendo. Pia sasa nafahamu wewe na Dr. Dau mmetoka mbali, ndiyo maana mnaliliana. Kweli wazee wa Kariakoo siwawezi, mpo tofauti lakin hadithi yenu moja.
Oh! Lkn kambona ulitegemea aseme nini juu ya mahasimu wake?ushahidi alitoa?Mkuu Oscar Kambona..alivyorudi kutoka UK,alitwambia pale Jangwani kuhusu Amir Jamal,JK Nyerere na Mfaume Kawawa ..
kwamba wana fedha nyingi nje ya nchi!..Huyu muhindi ndiye alitumiwa sana..
Ni kweli kabisa,Leo ndio siri imefichuka, ni wazi Dr Dau amewabeba sana ndugu zake katika imaani hasa huyu Mzee Mohammed Said, karani ambaye alikuwa na access ya kuingia hadi board meeting.
Kumbe u mkubwa mkubwa kiumri eeh!Si utani wale watoto walianza kula bata long time, ninakumbuka miaka ile ya awamu ya kwanza holiday walikuwa wanakwenda London.
Pia Mzee Janguo alikuwa mkurugenzi ''relwe'' na pia katibu mkuu wizara fulani kama sijakosea,hao watoto wake walikuwa wakipaishwa sana kwenye Twanga na Mzee wa Farasi ,pamoja na marehemu Banza mtoto wa SinzaKwa kifupi those days bandari ilikuwa ni mali ya Mzee Janguo na kabla wapemba hawajatuharibia kujilipuwa tulikuwa tukienda UK kama unavyokwenda South Africa tu kwa sasa bila kuomba viza ubalozini, sasa kama manoti unayo ni kwa nini weekend usilikwee BA to Heathrow London? Mambo yamebadirika sana.
Dunia ina mambo hii[emoji3] [emoji3] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]Jenguo huyu alikuwa mbunge wa Kisarawe kwa miaka makumi kadhaa??
Sasa nimeelewa "urafiki' wa Mzee Said na Dau ulisarujiwa wapi haswaa
JokaKuu....muandike sasa historia ya Tanzania. Kuna watu wenye nia ya kuipotosha..Amir Jamal aliteuliwa kuwa Balozi wa Tz Geneva (mashirika ya UN) kati ya 1988 mpaka 1993.
..akiwa huko aliugua na kuamua kwenda Canada kujiuguza chini ya uangalizi wa wanawe.
..mauti yalimkuta akiwa Canada na akazikwa hukohuko.
..nilitaka kuweka taarifa kwa Amir Jamal hakutoroka nchini.
..Serikali ilimfanyia kumbukumbu baada ya kifo chake na kama sijakosea Benjamin Mkapa wakati huo akiwa Waziri alimuwakilisha Waziri Mkuu Cleopa Msuya ktk tukio hilo.
Sio kiwanda chake bali chao cha familia, na kilipotaifishwa yeye aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa hicho kiwanda cha "Serikali"Mkuu Mohamed Said
Kwanza asante kwa kutujuza machache kuhusu JK Chande..... a round tabler and a rotarian
Nimeona kiwanda chake kilitaifisha lakini aliendelea kuwa raia mtiifu wa nchi hii.
Je unadhani hiyo ndiyo ilimfanya kuaminiwa sana na Mwl Nyerere?
Kwenye autobiography yake inaonyesha alikuwa ana vyeo lukuki....kuanzia bandarini, taasisi za fadha hadi shirika la ndege.
Hakika huyu mzee alikuwa na maadili ya juu kabisa. Naona watu wa "hivihivi" hawawezi kufikia utumishi wake kwa jamii ya watanzania miaka hiyo
Si utani wale watoto walianza kula bata long time, ninakumbuka miaka ile ya awamu ya kwanza holiday walikuwa wanakwenda London.