Upumbavu mkubwa huu! Lugha yake ya kukosa staha ndio inayozalisha majibu anayopata. Eti urais ni taasisi! Yaani taasisi ndio iheshimiwe kuliko heshima ya MTU mmoja mmoja?Hata kama Rais ana element za siasa za chuki lakini sio kwa kushambuliwa kwa namna wanavyofanya wapinzani. Rais ni taasisi kumbuka.
Kama yule "mwanaume wa Barrick" atavyo wanyoosha. Na mumekiri wenyewe "mwanaume huyooo kaja"Na ' Mwanamume ' anawanyoosha kweli.
Sasa kwani sio kweli kuwa ni hivyo?Sishangai wengi humu kuunga mkono upuuzi wa Mdee maana hata alivyomtusi Spika 'acha Ufala' mlishangilia sana.
Huyo mama yake yuko Kenya?Kumbea alikimbilia kwa mama yake?..
Ama kweli mtoto kwa mama hakui
Hata siasa za kukomoana hatutaki, kwani wewe nani hadi uamue kutusemea Watanzania?Halima Mdee lazima abadilike, watanzania sasa hivi hatutaki siasa za chuki. Hata kama Rais anakosea, kuna njia nzuri za kumpinga lakini sio kama wabunge wengi wa upinzani wanavyofanya.
Kwahiyo Rais ana ruhusiwa kushambulia wenzake lakini wengine hawaruhusiwi kumshambulia?
Mkuu utatumia busara gani ikiwa baba yako atakutukana? Unataka kuniambia na wewe utamtukana?
Utamueleza ukweli ahache kutukana.
Basi tumshauli Halima atumie njia hiyo hiyo ya kueleza ukweli kwa kutumia hekima na lugha za heshima. Tatizo la huyu Binti ni bagi na kusema ukweli nafasi yake haitendei haki
Baada ya kuharibu kakimbilia kwa mama...teh teh tehHuyo mama yake yuko Kenya?
Mwenye siasa za chuki ni Magu na chama chake cha CCM.Halima Mdee lazima abadilike, watanzania sasa hivi hatutaki siasa za chuki. Hata kama Rais anakosea, kuna njia nzuri za kumpinga lakini sio kama wabunge wengi wa upinzani wanavyofanya.
POINTLESSHata kama Rais ana element za siasa za chuki lakini sio kwa kushambuliwa kwa namna wanavyofanya wapinzani. Rais ni taasisi kumbuka.
Kamueleza ukweli.
Watanzania wapi hao,Wewe na mchepuko wako au?Halima Mdee lazima abadilike, watanzania sasa hivi hatutaki siasa za chuki. Hata kama Rais anakosea, kuna njia nzuri za kumpinga lakini sio kama wabunge wengi wa upinzani wanavyofanya.