Siku mbaya JF

Bora umefutwa, na pia nimefurahi vile vigroup vya wanaume kama mabinti navyo sasa vimesambaratika.

Haikua rahisi, ila niliwaambia mtakimbiana mmoja baada ya mwingine. Pumbafu zao kabisa
Yeahhh hao waliochangia kwa asilimia nyingi zile hekaheka pale! Before palikua pametulia sana amani ilitawala pale!
 
Ujue Kuna wakati unaona why mtu humfahamu hakufahanmu akupe stress,etc wakati unaweza kwepa na mambo mengine yakaendelea....
Ah mi nakupitezea tu Tena ht ukiniquote nikaona namna again ht sisomi kabisa
Unajua binadamu tumetofautina uvumilivu, hongera kwa hilo. Lakini pia usikubali sana unyonge, binadamu huwa hawaridhiki
 
pole sana... Lbd kuna mtu alionesha dalili za kukuelewa kipindi hicho na wewe ukawa kama humuelewi?
 
Hii imeenda
 
Wajinga wakubwa, hawaji tena kukaa sawa.

Kilichonikera zaidi ni ile tabia yao ya kwenda pembeni na kuanza kuwaponda na kutukana wanawake wa humu, Ila wakiwa hivi hadharani wanawasifia kweli
Mkuu,
Wewe ulijuaje kuna watu wanakaa pembeni kupondea wenzao? Seems mnazungukana tu coz kama kweli huna unalofatilia huwezi kujua nani na nani wana interact nje ya hapa.
 
Unajua binadamu tumetofautina uvumilivu, hongera kwa hilo. Lakini pia usikubali sana unyonge, binadamu huwa hawaridhiki
Mimi niliifunza....ni ngumu ila ukiweza utaenjoy sana mbele ya watu wapendao kuumiza wenzao....tena especially katika hii platform ya jf ...hatujuani unataka kujipa umuhimu kwenye maisha yangu.....naku ignore tu....chap Kwa haraka maisha mengine yanaendelea..
Yaani usijibu hata ile comment yake ya kwanza ya ujinga hata kuzoea tena
 
Mkuu,
Wewe ulijuaje kuna watu wanakaa pembeni kupondea wenzao? Seems mnazungukana tu coz kama kweli huna unalofatilia huwezi kujua nani na nani wana interact nje ya hapa.
Mm sina muda wa kufatilia ila yananikuta njiani. Unasema nilijuaje?

Hao hakuna mwenye akili, wakishamaliza kuteta huwa wanapeleka umbea kwa mademu.
Mm nina access ya demu mmoja msg zake, hivyo nilikua sikubaliani na nachokiona

Naamini umeelewa
 
Okay,
Ngoja nisiendelee kuuliza manake tayari maswali mob mkuu. Tuishie hapa...
Asante kwa ufafanuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…