Siku mbaya JF

mie nilireply nyuzi moja hivi kuhusu wanawake kwa lugha kali sana ya kijuba wakafuta,

nikaja nikatupia uzi wa revolution ndani ya chama flani hivi humu nchini, ubaya nilitaja hadi jina la muathirika wa mapinduzi,
Bwenyenye flani hivi akakometi pale chini then muda huo huo akaniripoti uzi ukangolewa mara moja ukiwa na moment yake pekeyake.

Tangu wakati huo kila nikitupia nyuzi sioni kitu,
nikarudi darasani kusoma vigezo na masharti ya JF,

nikakutana na sehemu inasema unaweza kupigwa ban ukaarifiwa sababu za ban, lakini vilevile unaweza kupigwa ban na usijulishwe chochote nikajua bas hapo ndio penyewe
 
Mbona kwaida sana!?

Waandishi wa kitabu wamecheza na akili ya msomaji.
 
Ushaharibu siku yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…