Siku mbaya JF

Mkikojolewa na mbuzi miguuni mnakuja na post zisizo na sidiria.
 
Mtazamo

Kadiri ninavyoishi, ndivyo ninavyotambua zaidi athari za mtazamo kwenye maisha.

Mtazamo, kwangu ni muhimu zaidi kuliko ukweli.
Ni muhimu zaidi kuliko imani,
kuliko elimu,
kuliko pesa,
kuliko hali halisi,
kuliko kushindwa,
kuliko mafanikio,
kuliko vile watu wengine wanafikiri au kusema au kufanya.
Ni muhimu zaidi kuliko kuonekana, vipawa, au ujuzi.
. Jambo la kushangaza ni kwamba tuna chaguo kila siku kuhusu mtazamo ambao tutakumbatia kwa siku hiyo. Hatuwezi kubadilisha maisha yetu ya zamani.

hatuwezi kubadilisha ukweli kwamba watu watatenda kwa njia fulani. Hatuwezi kubadilisha yasiyoepukika. Kitu pekee tunachoweza kufanya ni kucheza kwenye kamba moja tuliyo nayo, na huo ni mtazamo
Nina hakika kwamba maisha ni 10% ya kile kinachonipata na 90% jinsi ninavyoitikia. Na ndivyo ilivyo kwako - sisi tunasimamia mitazamo yetu.

Mitazamo hutengeneza hulka,hulka hutengeneza tabia, tabia hukufinyanga na kukufanya kuwa wewe kwa njia chanya ama kwa njia hasi

Long live JF... An exclusive platform for Great Thinkers[emoji419][emoji375][emoji173]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
lakini mimi nisingewaroga... Watu wamehangaika kubuni na kutengeneza JF sikutoa ata senti 1 katika kufanikisha uwepo wa JF... Acha tu watupeleke wanavyotaka wao... Wana Makosa madogo madogo wajirekebishe...
Nafikir watajirekebisha
 
DJ weka nyimbo ya Harmonize Hawaniwezi
 
Ulisema mwanaume kifua wewe mbona kama vile umebakiwa na kaba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…