Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,829
- 50,508
- Thread starter
- #21
Tena!!??Hasa wavaa kobaz wanaweza kuanza kujitokeza kutaka kueneza itikadi ya uvaa kobaz wao!
Tena!!??Hasa wavaa kobaz wanaweza kuanza kujitokeza kutaka kueneza itikadi ya uvaa kobaz wao!
Sawasawa, ndio maana nikasema itachukua muda USA kudondoka completely.China Bado tegemezi
Ikianguka itakuwa kwa taratibu sio jambo la usiku mmoja hivyo ikiwa kwenye anguko kutakuwa na wakuchukua nafasi yake.Historia inaonesha kwamba Dola kubwa duniani zimewahi kusambaratika. Lakini katika zama zetu, Marekani ni Dola kubwa Ulimwenguni.
Huwa najiuliza ikitokea nchi ya Marekani ikasambaratika, kitatokea nini duniani?
Wapo wanaotamani isambaratike kwa siku mojja!!Ikianguka itakuwa kwa taratibu sio jambo la usiku mmoja hivyo ikiwa kwenye anguko kutakuwa na wakuchukua nafasi yake.
Likitokea hilo itakuwa janga maana itaanguka sambamba na mataifa mengi tegemezi kwake.Wapo wanaotamani isambaratike kwa siku mojja!!
Marekani ndiye anasababisha Afrika tunafanya uchaguzi, akidondoka tutarudi kwenye Ufalme na Wafalme
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Bora Marekani aendelee kuwepo, pamoja na kwamba anakuwa na sera za kikuda ie ushoga etc ila kupitia yeye angalau twaona nchi zinajiheshimu.Huo ndio ukweli.
Misaada, mikopo na vitisho vyake vya vikwazo vya uchumi angalau vinawatatiza na kuwatisha kiasi fulani madikteta uchwara kuingiza nchi zao kwenye total dictatorship.
wewe ni raia wa hizo nchi ? ww umepewa pesa za kujenga vyoo utazitoa wap?Hakutakuwa na Vita Kona yoyote ile duniani,ustawi wa watu maana unyinyaji itakua umepotea na vikwazo vinavyoleta ugumu wa maisha(Korea kadkazini,Iran,Venezuela, Cuba) havitokuwepo
Unaaibisha ukoo wako,umeandika nini hiki?Yesu mwenyewe kakimbia, Rudi, rudi na wewe.Bibilia bibilia.HUYO BIBI HUWA HACHEKI.
Unaaibisha ukoo wako,umeandika nini hiki?