Siku maalum za wanawake mbona nyingi?

Siku maalum za wanawake mbona nyingi?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,647
Reaction score
4,753
Kwa kumbukumbu zangu ni hivi juzi juzi hapa hii siku iliadhimishwa na RAIS SAMIA alienda kule DODOMA kwenye mkutano na kina mama... HAPA SASA HIVI KILA RADIO NA TV ZIMEANZISHA KAMPENI ZAO... ETI SIKU YA WANAWAKE...

SIJUI LENGO NI NINI...HIZI SIKU...SAWA... Lets try to empower WOMEN to the time we will start to EMPOWER MEN.

THIS WORLD IS UNDER DEVIL'S CONTROL...
 
Na BADO siku ya jinsia ya kike siku ya wabeba mimba na siku ya walio kuwa wa KWANZA KULA TUNDA pale Eden
👉Siku ya kunyonyesha: kuwahamasisha wanawake wanyonyeshe kwa usahihi.

👉Siku ya hedhi duniani: kuikumbusha jamii juu ya maswala ya wanawake na hedhi.

NB: hizo siku hazipo
 
Back
Top Bottom