Siku hizi watu tunahalalisha dhambi

Kujamiiana kwa wasio wanandoa au ameoa au kuolewa anafanya ngono na mtu mwingine back asiye mume au mke wake.

hapana ni kujamiiana kati ya mwanandoa na asie mwanandoa.
d951db09ecda771feed399cae9cdad59.jpg

kama unavoona andiko limewalenga wanandoa tu, kwahio wale watu ambao sio wanandoa wakijamiiana wenyewe kwa wenyewe hawajazini, wameburudishana tu mkuu.
 
Hapa sasa ndipo usahihi wa maana yangu unakuja... Swhemu gani imesema ni kuburudishana!?
 
soma hio amri vizuri. haiwahusu wasio wanandoa wanaojamiiana wenyewe kwa wenyewe. hio amri inawahusu wanandoa wachepukaji.
na ukisoma vizuri kabla ya agano jipya kutoka hio amri ilikua inawahusu wanawake tu walioolewa na bado wanachepuka, haikuwahusu wanaume, na ndo mana wanaume wa agano la kale walikua na wanawake wengi, sababu kwao haikuhesabika kama dhambi.
 
Duh we sasa muongo au pengne hunaelewa maana ukisoma mwanzo hadi mwisho hkn sehemu imeruhusu kufanya uzinzi. Lsbda upande wa pili kwa waislam japo na penyewe sidhan
 
ndo mana kabla cjaleta hii mada nkakuuliza uzinzi ni nini. si kwamba nilikua sijui maana utakayonipa, nilikuuliza kwa makusudi. katiba ya tanzania inaruhusu mwanaume kuoa binti mdogo ila katika jamii tumeongeza vipengele vyetu wenyewe kichwani kwamba sio vizuri mwanaume kuoa binti mdogo. naona na wewe neno la mungu unaliamendi tu mkuu.
 
We chalii unahalalisha uovu kuwa wema... Eti kuzini ni kwa wengine isipo kuwa wanandoa kuchepuka!!!!? Jamaa we muongo sana....

Back
Top Bottom