MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,289
- 2,348
Na ni nani aliyebarikiwa zaidi?Hakuna mkamilifu Hilo ujue
Huyu mkosaji kwa dhamira ya dhati kabisa alitubu na kuomba radhi kwa baba yake na kwa haki kabisa aliomba afanywe kijakazi pale lkn baba yake akamsamehe na kitendo hicho kikainua chuki ya ndugu yake
Mimi naona alifanya kwa haki kabisa
Ni yule mchotaji wa mali au yule aliebaki na babaye?