KamaLabda mna dini tofauti, kitu ambacho dini yenu dhambi, kwao suna.
Tuambie wewe dhambi gani imehalalishwa.Kama
UshafeliTuambie wewe dhambi gani imehalalishwa.
Ushafeli ndiyo dhambi iliyohalalishwa?Ushafeli
kama wote tunaamini MUNGU WETU NI MMOJA haijawai na haitakuja kuwa hivyo labda ulazimishe utakavyo wewe Amri kumi za mungu Hazijawai KUBADIRIKA kwa wayahudi wakrsto wala waislamu isipokuwa waliletwa mitume kurekebisha pale ambapo tulijisahau kukumbusha ama tulipokuwa tumevuka mipaka iliyopindukia ya UHURU ama kufanya yale ambapo MOLA wetu aliyaona MAGUMU akaturahisishia sisi waja wake ili tuishi kwa FURAHA na AMANIKitu kinaweza kuwa dhambi kwako lakini kikawa halali kwa mwingine..
ni ukweli ulio dhahiri kuwa hizo dini ulizo zitaja ukizichunguza kwa makini utaona kuwa Mungu anaeabudiwa kwa kila mmoja wao ni tofauti! ila kuna sifa nyingi zinafanana. na pia dini hazipo hizo tu duniani wala hata hapa nchini tu...kama wote tunaamini MUNGU WETU NI MMOJA haijawai na haitakuja kuwa hivyo labda ulazimishe utakavyo wewe Amri kumi za mungu Hazijawai KUBADIRIKA kwa wayahudi wakrsto wala waislamu isipokuwa waliletwa mitume kurekebisha pale ambapo tulijisahau kukumbusha ama tulipokuwa tumevuka mipaka iliyopindukia ya UHURU ama kufanya yale ambapo MOLA wetu aliyaona MAGUMU akaturahisishia sisi waja wake ili tuishi kwa FURAHA na AMANI
kabisa.
kula nguruwe ni dhambi kwa waislam ila halali kwa wakristo.
ni halali kwa wakristo kusema Yesu ni Mungu ila kwa waislamu ni dhambi, mwanadamu hawezi kuwa Mungu.
kwa waislam ni halali kusema kuna majini wazuri na wabaya, kwa wakristo kuamini majini ni dhambi na hakuna majini wazuri kwa maana zote ni roho chafu.
kwa hio dhambi ni tafsiri binafsi tu inayotokana na mazingira mtu aliyokulia. watu wanakosea kwenye kugeneralize mambo. there's no generalization, there's no one answer for all questions. Once u understand that you will live a peaceful life.
yapi niliyoyasema ambayo hayapo katika ukristo?hayo unayoyasema katika UKRISTO hayapo hivyo ila wale wanaowapotosha ndivyo wanavyowaaminisha UJINGA
YESU KRISTO wa NAZARETHY siku atakayorudi atasikitika sana kwa kuona KONDOO wake mmeangamia kwa kukosa maarifa
Nyinyi wakrsko wa KISASA hamfuati Mafundisho na njia alizopita YESU KRISTO wa NAZARETI yaai ni WANAFIKI
ina maana hamuoni hata kusikia hamsikii basi hata harufu hamuhisi ?
ebu isomeni kwanza BIBRIA kwa umakini na kituo then kwanza tumieni UTASHI wenu kugundua hivi nilivyosoma na tunavyofanya MAISHANI MAKANISANI ndivyo BWANA MUNGU alivyoagiza ?
then mjiurize tukimbile wapi Ikiwa BWANA ndio mkombozi wangu
sawasawa.Toa angalau mfano mmoja wa dhambi inayoalalishwa ili tuipime kama kweli imealalishwa na nani kaialalisha na kwa nini kafanya hivo?
dhambi kwa tafsiri ya kawaida ni tendo baya linalotendwa kinyume na sheria zilizowekwa na jamii ya watu fulani.Kwahiyo ushoga kwako fresh sio dhambi bali ni halali!? Kwa hyo fresh tu kufanya zinaa!? Maana kila kitu Mungu anakusudi lake kwetu so we hujali!? Au unaamini katika nini!?
Word!! Thou shall not judge. Kwa nini asiseme "tumehalalisha dhambi". Yeye mtoa mada ni malaika.kabisa.
kula nguruwe ni dhambi kwa waislam ila halali kwa wakristo.
ni halali kwa wakristo kusema Yesu ni Mungu ila kwa waislamu ni dhambi, mwanadamu hawezi kuwa Mungu.
kwa waislam ni halali kusema kuna majini wazuri na wabaya, kwa wakristo kuamini majini ni dhambi na hakuna majini wazuri kwa maana zote ni roho chafu.
kwa hio dhambi ni tafsiri binafsi tu inayotokana na mazingira mtu aliyokulia. watu wanakosea kwenye kugeneralize mambo. there's no generalization, there's no one answer for all questions. Once u understand that you will live a peaceful life.
UzinziNimeuliza dhambi gani tuichambue, mpaka sasa sijapewa jibu.
Maana mtu mmoja anaweza kusema kunywa pombe ni dhambi, kwa mujibu wa dini yake, na mwingine akasema kutomunywa pombe ni dhambi, kwa mujibu wa dini yake.
Sasa unaweza kumsema mtu anahalalisha dhambi kwa kitu ambacho kwa dini yake si dhambi.
UzinziToa angalau mfano mmoja wa dhambi inayoalalishwa ili tuipime kama kweli imealalishwa na nani kaialalisha na kwa nini kafanya hivo?
Embu rudi hapo juu then useme tenaWord!! Thou shall not judge. Kwa nini asiseme "tumehalalisha dhambi". Yeye mtoa mada ni malaika.