Bartazar
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 1,043
- 565
Nyie magamba mnaodai vyama vya wafanyakazi havifuati sheria msituzingue!!. Kwani nyie sheria mnazijua? Siri ya mtungi aijuaye kata, nyie mnajua nn kuhusu mchakato waliofuata walimu hadi kufikia hatua ya kugoma? Je, mnajua kuwa mgomo ule ni wa kisheria? Au kwa kuwa mnakula na mafisadi sasa mnakufuru kwa kuvimbiwa? Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu na udhalimu wenu una mwisho. Nyambaf!