deepsea
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 3,287
- 946
ongea naye mpaka mwisho ni mia tano.(mr ebo)
Nalog off
jf ni full burudani
ongea naye mpaka mwisho ni mia tano.(mr ebo)
Nalog off
Stukaaaa!!!! Mtego wa mama mwenye nyumba huo!!! shauri yako. Usirudi hapa jamvini kuanza kulia lia baada ya kumgegeda binti wa mama mwenye nyumba.
Connecting... Loading....wakuu naishi nyumba ya kupanga kuna binti wa mama mwenye nyumba alikuwa ananitupia shikamoo kila akiniona lakini baada ya wiki mbili hanisalimii na tukionana ni full kurembua nikajaribu kuuliza wadau hii nini au kuna nini wadau wakasema huyo anataka dushelele je ni kweli binti akiwa anakusalimia mara salamu ikakata basi ni dalili tosha anataka dushelele?
Unadhani kila member humu ni matured?.....Matusi hyafai humu nyie ni mature bwana
sasa nami pia nmeelewa kwanini sasa kuna dv 5 sababu ni watu kama wewe akili ndogo mno kama tone la maji baharini
aya division 1 mkuu ila maisha ya yamekushinda na kuleta hoja zisizo kuwa na kichwa wala miguuu!!!!!!!!!!!!
aya division 1 mkuu ila maisha ya yamekushinda na kuleta hoja zisizo kuwa na kichwa wala miguuu!!!!!!!!!!!!
ma.la.ya ww nipo kwangu na nimejitosheleza kwa kila kitu karibu japo nawe unukie kama waridi nyie si mnakula vya watu kisha mnasepa badala ya kutafuta sasa mtajeruhiwa na kuuawa na bastora mpaka mshike adabu kwenye vitu vya watu
wewe mtakatifu wa bwana hongera....... bikira
Asante kama umetambua mimi ni mtakatifu wa Bwana.......kuniita bikira haiondoi uanaume wangu kama unataka huduma njoo karibia kwangu nkuoneshe kazi.....by the way ngoja nkuache nisijeharibu kazi za watu hapa. karibu kwangu mi naishi boko ni pm.
Haya na wote ambao walikuwa wanaambiwa shikamoo na sasa hawasalimiwi waamke.
Kwa maana sababu nyingine kama vile alikuwa hajakuzoea na sasa kakuzoea na kwa uelewa wake shikamoo haihusiki-haina nafasi katika jukwaa hili.
Na pia labda kakuona wewe hupendi sana shikamoo.
Na labda kwa akili yake kajiona kakua na hahitaji kutoa shikamoo kwa watu kama wewe.
and so on...
nawe pia dada mkubwa Mungu Asikupungukie Akubarikie pia atusamehe.....ukawe na siku njema
wakuu naishi nyumba ya kupanga kuna binti wa mama mwenye nyumba alikuwa ananitupia shikamoo kila akiniona lakini baada ya wiki mbili hanisalimii na tukionana ni full kurembua nikajaribu kuuliza wadau hii nini au kuna nini wadau wakasema huyo anataka dushelele je ni kweli binti akiwa anakusalimia mara salamu ikakata basi ni dalili tosha anataka dushelele?