siku hizi hasalimii

siku hizi hasalimii

aahaa! wameshamaliza mitihani wapo home sasa hivi,mbona kazi tunayo
 
Mods msaada kweli hii thread ifungwe
tu huenda ikawa na madhara hasa kwa
baadhi ya members maana ina majibizano
makali sana nahisi huenda pakachimbika.
 
wakuu naishi nyumba ya kupanga kuna binti wa mama mwenye nyumba alikuwa ananitupia shikamoo kila akiniona lakini baada ya wiki mbili hanisalimii na tukionana ni full kurembua nikajaribu kuuliza wadau hii nini au kuna nini wadau wakasema huyo anataka dushelele je ni kweli binti akiwa anakusalimia mara salamu ikakata basi ni dalili tosha anataka dushelele?

Hayatuhusu. This is your private business. Nenda kamuulize huyo binti kwa nini anafanya hivyo.
 
Ametushangaza tulio wengi !
Hivi ukienda chooni kwa bahati mbaya
uk*nya kando ni kuja hapa kuanzisha
thread kweli ?

pia wengi wanakushangaa wewe dubuwasha uwenda unafikiria kwa kutumia magoti sjui kinakuwasha nn kusoma hii thread kama kweli una hekima usngelibeza ila si mbaya ndo upeo wako huo
 
Hayatuhusu. This is your private business. Nenda kamuulize huyo binti kwa nini anafanya hivyo.

pia nawe nenda kamuulize bwana ako kwanini anadai wewe unanuka kinyesi mara kwa mara anakutuhumu hivyo
 
Nahisi we unafanya kazi mirembe. Au nimekosea

kwasababu wewe ni miongoni mwa vichaa nnao watumikia why usinijue kidogo akili yako imeanza kukukaa vizuri mpaka unaweza mjua mtu anaekuchunga hapa mirembe kweli uko vizuri sasa binti.
 
Sorry Mentor ndio vijana hawa wa doticom hawana adabu kabisaaaaa. Dogo anatafuta kiki JF

hapana dada yeye kaanza kuyavulia nguo maji ngoja ayaoge kwa pupapupa yammalize kabisa.
 
Nawe mrembulie macho ili nae akawaulize wenzie Facebook kwamba siku hizi mpangaji wao hajibu shikamoo anabaki kurembua macho na kuangalia nido..
 
Nawe mrembulie macho ili nae akawaulize wenzie Facebook kwamba siku hizi mpangaji wao hajibu shikamoo anabaki kurembua macho na kuangalia nido..

mkuu huu mzaha mwishowe hutumbua chunusi ndugu
 
Stukaaaa!!!! Mtego wa mama mwenye nyumba huo!!! shauri yako. Usirudi hapa jamvini kuanza kulia lia baada ya kumgegeda binti wa mama mwenye nyumba.

wakuu naishi nyumba ya kupanga kuna binti wa mama mwenye nyumba alikuwa ananitupia shikamoo kila akiniona lakini baada ya wiki mbili hanisalimii na tukionana ni full kurembua nikajaribu kuuliza wadau hii nini au kuna nini wadau wakasema huyo anataka dushelele je ni kweli binti akiwa anakusalimia mara salamu ikakata basi ni dalili tosha anataka dushelele?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom