Siku hizi hakuna mapenzi ya kweli!

Thread nzuri. Itakuwa ilinipita. Post ya Mentor imeniacha hoi.

Most of his comments ziliniliza kwa vicheko... kuna post i had to give him a rite to let him know nacheka kwanza...
Umeona correlation za hizo age na jinsi gani zina affect love??
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Most of his comments ziliniliza kwa vicheko... kuna post i had to give him a rite to let him know nacheka kwanza...
Umeona correlation za hizo age na jinsi gani zina affect love??

Nimeona. Classifications za ages ulizotaja zinazodetermine maturity and life experience. Labda ambacho ningeongezea ni kuwa more than the biological ages, there are also mental ages. Some argues that within the legal bounds, biological age has nothing to do with the success or failure of the relationship. But it does not follow that there should be no boundaries when one or both of the couple is/are underage/overage.
 
Well nimependa the observation of kuhusisha mental stage(s),
come to think of it - it is so right an addition to my thinking and hence a new insight..
 
Mapenzi ya kweli hayapo na hayajawahi kuwepo, believe me. Ni sawa na watu wanapohubiri kuwa mwisho wa dunia unakaribia this is for ages imekuwa ikihubiriwa hivyo na age ambayo walisema hapa mwisho bado uko mbali. Na mapenzi utasikia wakisema siku hizi hakuna mapenzi ya kweli ni for ages nayo hakuna kipindi ambacho binadamu alishawahi kusema kuwa kipindi hiki kuna mapenzi ya kweli.
 
tatizo ni kwamba kila mtu anachukulia mapenzi kama anavyofaham yeye!je ww kama ww binafsi mapenz ya kweli yapo?
 
Yea jf mambo vp,jaman nisaidien kufaham kuhusu suala zima la mapenzi.
1.hivi nn hasa maana ya mapenzi?
2.hakuna maisha bila mapenzi?
3.kwnn baadhi ya watu wanajiua kwa ajili yamapenzi?
4.siku hizi kuna mapenzi ya kweli au ni kuzinguana tu siku ziende?
Nawakilisha wakuu.

1.hivi nn hasa maana ya mapenzi?

As Man of science nitakupa defn. of love -

Love can be a strong positive emotion of regard and affection.
Love can be any object of warm affection or devotion.
Love can be defined as having a great affection or liking for.
Love can be a deep feeling of sexual desire and attraction

As a normal individual nitakupa 7 def. of love ...

Love is loyal.
Love is wanting the best for the other person.
Love is compromising and working things out in a way that you both can win.
Love is finding common ground.
Love is trying to come together in a way that makes the world a better place.
Love is selfless.
Love is caring about the other person’s emotional needs and feelings.

2.hakuna maisha bila mapenzi?

hakuna

.kwnn baadhi ya watu wanajiua kwa ajili yamapenzi?

They are experiencing Lust -
Lust is self-gratification.
Lust can be obsessive.
Lust is usually tied to sexual gratification.
Lust is selfish.
Lust does nott consider the other persons wants and needs.
Lust does not care about how the other person’s day went.
When someone is in lust they are not interested in meeting family or friends.
Lust is wanting something to the point that you don’t care who gets hurt.
Lust manipulates, destroys and controls.
Lust often involves raging.
People who lusts may think they are in love, but the fire burns out quickly when they get the person or thing they lust for.
Lust does not last, but love can.

4.siku hizi kuna mapenzi ya kweli au ni kuzinguana tu siku ziende?

mapenzi ya kweli yapo ... give it time ..
 
Back
Top Bottom