Siku hizi hakuna mapenzi ya kweli!

Garmii

Senior Member
Feb 26, 2011
164
19
Yea jf mambo vp,jaman nisaidien kufaham kuhusu suala zima la mapenzi.
1.hivi nn hasa maana ya mapenzi?
2.hakuna maisha bila mapenzi?
3.kwnn baadhi ya watu wanajiua kwa ajili yamapenzi?
4.siku hizi kuna mapenzi ya kweli au ni kuzinguana tu siku ziende?
Nawakilisha wakuu.
 
Kwenye topic unasema siku hizi hakuna mapenzi ya kweli. Then, unauliza nini maana ya mapenzi. Kama hujui maana ya mapenzi umejuaje kuwa siku hizi hakuna mapenzi ya kweli?
 
Kwenye topic unasema siku hizi hakuna mapenzi ya kweli. Then, unauliza nini maana ya mapenzi. Kama hujui maana ya mapenzi umejuaje kuwa siku hizi hakuna mapenzi ya kweli?
kuna tofauti kati yangu mm na ww kuhusu kufaham mapenzi,mm nafaham kvle na ww unafaham khvi!
 
kuna tofauti kati yangu mm na ww kuhusu kufaham mapenzi,mm nafaham kvle na ww unafaham khvi!

Mkuu lakini ukiangalia heading yenyewe umesema wazi kuwa siku hizi hakuna mapenzi ya kweli. Kwa hiyo kabla ya mtu kusoma thread yenyewe atadhani umeelezea ni kwa nini siku hizi hakuna mapenzi ya kweli. Lakini atashangaa atakapokuta unauliza nini maana ya mapenzi. Kwa kifupi heading haiendani na ulichoeleza. Labda heading ingekuwa "Siku hizi kuna mapenzi ya kweli? Hapo ungeeleweka. Ni kuelimishana tuu. No otherwise.
 
Mi pia sijui mapenzi ni nini, mpenz ni nani, kupendana ni nini. Mwenye kamusi aniwekee link.
 
Garmil kitu kilichoharibu mipango yoote ambayo Mwenyezi Mungu alipanga ni MAPENZI
The world goes round, hivyo mapenzi kuisha haiwezekani... lazima mwanadamu apitie ingawa
kuna exceptions... But hayo maswali yako yananipa picha you have neva fallen or you
have fallen but don't understand as a result ya the confusing feelings una experience...
 
Garmil kitu kilichoharibu mipango yoote ambayo Mwenyezi Mungu alipanga ni MAPENZI
The world goes round, hivyo mapenzi kuisha haiwezekani... lazima mwanadamu apitie ingawa
kuna exceptions... But hayo maswali yako yananipa picha you have neva fallen or you
have fallen but don't understand as a result ya the confusing feelings una experience..
.

Compare na heading
 
Compare na heading

Am telling you wen i saw the heading and it was Chit Chat forum nikajua napozea..
Those questions he has provided needs a lot of relaxed happy mood feeling.. And if indeed
i do compare with the heading i will presume katendwa.. but nikafikiri kama katendwa...
Those are such naive qns for a person alotendwa, it would have presented with finality in them..

I hope you are getting me EMT...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ni vigumu kuwa na mapenzi ya uweli kama kila siku tunajazana uongo kwenye mahusiano yetu.

Mapenzi ya ukweli yapo pale uongo unapotengwa. Mawasiliano muhimu kwenye uhusiano hili kama kuna kitu kinakusumbua kuhusu mwenzako ni vizuri kumwambia ukweli hili ajirekebishe na sio kwenda pembeni kulalamika kwa marafiki zako au kukaa nalo moyoni mpaka pale unachukua hatua ambazo zinakuja kuaribu uhusiano wako wote. Usiogope mwenzako kukasirika kwa vile umemwambia ukweli, kama ana nia nzuri ya uhusiano wenu atajirekebisha; japo pia atakasirika kwani ndio tabia yetu binadamu lakini ni kwa mda tu baadae akili itamuingia na mabadiriko yatasaidia uhusiano wenu.
 
Am telling you wen i saw the heading and it was Chit Chat forum nikajua napozea..
Those questions he has provided needs a lot of relaxed happy mood feeling.. And if indeed
i do compare with the heading i will presume katendwa.. but nikafikiri kama katendwa...
Those are such naive qns for a person alotendwa, it would have presented with finality in them..

I hope you are getting me EMT...

Got you. Nafikiri pia heading ya thread inawezajibiwa na maswali aliyouliza mdau. Siku hizi hakuna mapenzi ya kweli kwa sababu:

1. Watu hawajui nini hasa maana ya mapenzi
2. Watu wanaamini kuwa hakuna maisha bila mapenzi
3. Baadhi ya watu wanajiua kwa ajili yamapenzi (so watu wanaogopa kuwa na mapenzi ya dhati)
4. Siku hizi hakuna mapenzi ya kweli au ni kuzinguana tuu ili siku ziende
 
I agree na yoote uloongea for hua tunakua na Mapenzi ya kweli wen we are
younger but eventually grow up.. sielewi sababu za wakaka but by presumption
ila kwa wadada naomba usome this Link... si yoote soma from age 19 - 32...

https://www.jamiiforums.com/mahusia...d-that-speacial-lady-you-have-fallen-for.html
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom