Siku hizi bhana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku hizi bhana!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Arushaone, Aug 24, 2012.

 1. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,155
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Siku hz bhana: kila mwanamke mrembo ana uchina kam siyo matt bac matk au hips, siku hizi bana vijana kata k. kila kona, sku hiz bana kabla hawajamaliza shule wadogo zetu wanataka kuwa bongoflv singers, kila mahali bar na grocery kila kona, siku hz...
   
 2. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 718
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Siku hizi bana kila kitu bwerereee!................
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Dunia ya Fcbk, Dot.com , Technohama ect ! Mambo msagurano!
  Majuzi mwenge ulikesha jirani na my residential kwenye uwanja wa shule, asubuhi wafagizi wanadai walifagia mipira iliyomaliza matumizi ujazo wa kujaa ndoo ya 10 ltrs !
   
 4. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,429
  Likes Received: 3,207
  Trophy Points: 280
  Heri yao wanaojali afya zao.
  Maana magonjwa ya maambukizi yatawapitia kushoto.
   
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,802
  Likes Received: 1,019
  Trophy Points: 280
  siku hz kila kijana ukipishana naye unakuta kaweka earphone masikioni au yuko busy na fb!
   
 6. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,350
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  hilo neno 'siku hizi' haliwezi kuisha daima.
   
 7. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,930
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  siku hizi jf imevamiwa na vjana kule mmu wanaomba ushauri mpk kwenye kumega tunda
   
 8. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,802
  Likes Received: 1,019
  Trophy Points: 280
  umeona eeh, tena imevamiwa na vitoto vya fb MtotoSix
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,614
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Heh! Kumbe upo?! Eti naaga JF! Chezea JF wewe!
   
 10. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,094
  Likes Received: 398
  Trophy Points: 180
  siku hizi bwana..
   
 11. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,155
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  siku hizi bhana wanaume wanataka kulelewa nawanaume.. Siku hizi bhana kila mtu anajifanya bush lawyer... Siku hizi bhana jf wa2 wana multiple ids...
   
 12. NORTHERN ROCK

  NORTHERN ROCK Member

  #12
  Aug 25, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Siku hizi watu wameshaanza kujua haki zao, siku hizi jf wanatongozana na kujitongozesha, siku hizi kila mtu anajua chadema hata village, siku hizi bana ufisadi kwa sana, siku hizi bana kila mahali matoyo ya kichina. Siku hizi bhana......
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. W

  Wajad JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 873
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  Siku hizi soko la nyuma limepanda sana kuliko enzi za sodom
   
 16. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ambaye hamjali mwenzie ni nani tangu idd umekula mnuso mwenyewe nimekutafuta hadi kwa @ Ashadii
   
 17. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #17
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  siku hizi bwana hadi huyu mtu kaja kutongoza
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,045
  Trophy Points: 280
  Siku hizi I miss you very Much Pearl. Zagga isha kufa na Jf huonekani, hakika umenogewa na utamu wa ndoa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,043
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ah ah ah miss youuuuuuuuuu uncle bujiiiiiiiiiiiiiiii
   
 20. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,727
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  siku hizi bana folen mpaka mochwari... siku hizi bana vikao vya harusi mpaka saa 8.. siku hizi bana bomu la machozi tunalenga tumboni.... siku hizi bana watoto wanajifunza kukojoa mpaka juu ya vitabu vitakatifu,,
   
Loading...