Siku Harmonise anakutana na Diamond

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1566761488453.jpeg
 
Baadhi ya comments za watu: Hapo Mungu alimpangia atapitia hapo asaidiwe ili na yeye aweze kujitegemea nadhani ndio maana kaka na wewe ukatoka kwa wazazi ukaenda kujitegemea.Huwezi ukakaa kwa wazazi wako miaka yote.Dai ni mzazi wa harmo kimuziki mtoto ameona amekua na yeye anataka kwenda kujitegemea.Mzazi unatakiwa kumbariki mwanao.hata kama amekukwaza unatakiwa kumsamehe na kumbariki
 
huu uzi ungependeza kama ungeweka picha ya siku mbayo anaondoka WCB
 
Hakuangalia yote haya wakati huo alitaka tu kuwa member wa WCB. Sidhani hata kama aliwaza kusomewa mkataba na mwanasheria kabla ya kudondosha saini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom