Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,358
Wadau ni muda sasa toka sintofahamu ya Dr. Slaa ilipozungumzwa na mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman A. Mbowe.
Na leo japokuwa hajaliongelea moja kwa moja lakini ameliongelea kinyume nyume. Ni rai yangu sasa tuache kuliongelea hilo jambo kwa mbwembwe au muhemuko.
Ni wazi siku Dr. Slaa akiongea anaweza akabadili upepo wa kisiasa ambao tayari wanaCHADEMA wanaamini wameshavuka.
Tumuache Dr. Slaa sasa ufanye maamuzi yake binafsi kama ni ya kurudi au kuachana na siasa bila kejeli au dhihaka. Hapa pana vita isiyoonekana kwa macho na kauli ya Dr. Slaa inaweza kuwa na athari endapo ataendelea kutukanwa kisha akaamua tukose wote kama yule mama na nabii Suleman.
Nawasilisha.