Siku Dr. Slaa akiongea

Siku Dr. Slaa akiongea

Wadau ni muda sasa toka sintofahamu ya Dr. Slaa ilipozungumzwa na mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman A. Mbowe.
Na leo japokuwa hajaliongelea moja kwa moja lakini ameliongelea kinyume nyume. Ni rai yangu sasa tuache kuliongelea hilo jambo kwa mbwembwe au muhemuko.

Ni wazi siku Dr. Slaa akiongea anaweza akabadili upepo wa kisiasa ambao tayari wanaCHADEMA wanaamini wameshavuka.

Tumuache Dr. Slaa sasa ufanye maamuzi yake binafsi kama ni ya kurudi au kuachana na siasa bila kejeli au dhihaka. Hapa pana vita isiyoonekana kwa macho na kauli ya Dr. Slaa inaweza kuwa na athari endapo ataendelea kutukanwa kisha akaamua tukose wote kama yule mama na nabii Suleman.

Nawasilisha.

Umeongea ujafanya utafiti. Fanya utafiti nikwamba watu wanaomtukana Dr Slaa humu jf ni wanaccm na act .sasa sijui utawa ambia nini wewe mwanachadema wakusikie waache kumtukana Dr.wakati wao wanatumia nafasi. Hiyo kujaribu kubomoa chadema.ataa Dr ni member. Hapa jf na anajua wanaomtukana sio prochadema .sana sana alikuwa Yeriko nautaona alimjua na alimkanya na Yeriko .amewacha .sana sana sisi wanachadema kauli zetu ni zakuomba Dr aingie uwanjani basi.natoka tuelezwe yupo mapumziko tumenyamaza.nimesema nikwambie hivyo maana isije onekana wanachadema ndio tulikuwa tuna mtukana Dr kipenzi wetu baba wa taifa jipya Tanzania baada ya 25 october.
 
Alichosema Mh. Mbowe ndio busara hitajika, na ikiwa kweli kuna nia ya dhati ya kubadili mfumo basi wakati ni sasa. Ni lazima kujitolea sana ili lengo lifikiwe na yeyote ambae hataliona hili anamaanisha kwamba mfumo uliopo ameridhika nao.

ile "wagawe uwatawale" itakuwa imefanikiwa
 
usifikiri hii ishu imeanza leo. mbona ipo kitambo, sema ilikuwa chini ya kapeti. ni ukweli ulidhahiri kuwa slaa alikuwa anaburuzwa na mbowe. wakati huohuo mshauri mkuu wa mbowe akiwa mkwe wake mtei. kilichoamliwa na mtei-mbowe hakukuwa na wakukipinga. tatizo lenu nyie ni misukule. tuliwambia sana humu lakini ndo hivyo hamuambiliki. binafsi hata sishangai haya ninayoyaona.
mimi siko chadema lakini ninawashikaji wengi tu ndani ya chadema wanaonipa michapo kila kukicha. ajabu wewe upo chadema unaishia humu mitandaoni. aibu.

Wewe ni Gamba! Tulia sindano ya Ukawa ikuingie vizuri!
 
usifikiri hii ishu imeanza leo. mbona ipo kitambo, sema ilikuwa chini ya kapeti. ni ukweli ulidhahiri kuwa slaa alikuwa anaburuzwa na mbowe. wakati huohuo mshauri mkuu wa mbowe akiwa mkwe wake mtei. kilichoamliwa na mtei-mbowe hakukuwa na wakukipinga. tatizo lenu nyie ni misukule. tuliwambia sana humu lakini ndo hivyo hamuambiliki. binafsi hata sishangai haya ninayoyaona.
mimi siko chadema lakini ninawashikaji wengi tu ndani ya chadema wanaonipa michapo kila kukicha. ajabu wewe upo chadema unaishia humu mitandaoni. aibu.

Huna lolote kama hauko chadema kinachokufanya uifuatilie kwa ukaribu ni nini??

Kijanana ukiwa mnafiki lazima uzeeni uwe mchawi.

Poor ccm

Mungu bariki CDM
Mungu bariki Tanzania
 
Nikikumbuka mshikamano wa Mbowe na Slaa sielewi inawezekana vipi haya yafike huku.....

Kweli mkuu na Dr Slaa aliirudia Mwanza wakati anampokea Bulaya na Lembeli kwamba watu wanasema mimi na Mbowe hatuelewani, akasema watz msidanganyike mimi Mbowe tuko wamoja, walishindwa kumgundua shetani mapema.....
 
Nikikumbuka mshikamano wa Mbowe na Slaa sielewi inawezekana vipi haya yafike huku.....
bila neno la mzee wangu dr slaa kula yangu october napeleka kusikojulikana....dhihaka imevuka mipaka
 
bila neno la mzee wangu dr slaa kula yangu october napeleka kusikojulikana....dhihaka imevuka mipaka

Kuliko upige kura ccm bora ulale siku hiyo, wengi tu tumeumizwa na jambo hili ila uvumilivu ndiyo ukomavu wetu na pia usiwe mwepesi kutoa misimamo hivyo uwe na akiba ya maneno mkuu.
 
Tatizo linalomsibu Dr Slaa lipo ndani ya familia yake mwenyewe, na siyo tatizo la Chadema, hata hivyo ninamtakia mapumziko mema akiwa nchini Australia na familia yake baada ya maandalizi ya safari ya kuondoka na familia yake nchini kukamilishwa na TISS kwa msaada wa mke wake.

Unawajua TISS wanaomlinda Waziri Mkuu mjiuzulu wanaripoti na nakuwajibika kwa nani?
Kama kweli kauli kama hizi zinatoka kwa mwanachadema safari ya Ukombozi kwa ile misingi ya awali ya Chadema kwisha habari yake.
 
Unashangaa hili?Mbowe ndo ameanza kampeni za kumchafua Dr Slaa kupitia hivi vijibwa vyake,kama kawaida yake.
 
we vipi umevuta nini? umeelewa hata nilichoandika? au hata wewe umeanza kutumia ile kitu ya arusha? ni aibu kwa mwanamke kuandika utumbo huu.

Huna lolote kama hauko chadema kinachokufanya uifuatilie kwa ukaribu ni nini??

Kijanana ukiwa mnafiki lazima uzeeni uwe mchawi.

Poor ccm

Mungu bariki CDM
Mungu bariki Tanzania
 
bangi,

Kumbe wewe ni kweli nilivyosikia kuwa ni BOY nyumbani kwa Mtei.

Ndiyo maana unajua yote yanaoendelea, BOY. Wahi kamfulie Chupi zake maana patachimbika.

Endelea kuiba SIRI za ndani za Mtei na kutuletea kwani utasaidia sana kulikomboa Taifa hili kutoka mikono ya CCM.
 
Pamoja na Mbwembwe zote za Lowassa lakini anamhitaji Dr.Slaa kuliko Dr Slaa anavyomhitaji Lowassa.
 
Tatizo linalomsibu Dr Slaa lipo ndani ya familia yake mwenyewe, na siyo tatizo la Chadema, hata hivyo ninamtakia mapumziko mema akiwa nchini Australia na familia yake baada ya maandalizi ya safari ya kuondoka na familia yake nchini kukamilishwa na TISS kwa msaada wa mke wake.

Kama ni hivyo aende ila atakuta ukombozi umepatikana bila ya yeye kushiriki. Kila la kheri huko aendako iwe Vatican au Australia.
 
Mbowe kasema watatumia jitihada zote wasimwache nje pamoja na sintofahamu ilotokea...

Dr. Slaa ana misimamo yako ambayo haiyumbishwi. Nakumbuka ule wimbo samaki ana mengi ya kuongea ila mdomo umejaa maji
 
Back
Top Bottom