Siku Dr. Slaa akiongea

Siku Dr. Slaa akiongea

Wadau ni muda sasa toka sintofahamu ya Dr. Slaa ilipozungumzwa na mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman A. Mbowe.
Na leo japokuwa hajaliongelea moja kwa moja lakini ameliongelea kinyume nyume. Ni rai yangu sasa tuache kuliongelea hilo jambo kwa mbwembwe au muhemuko.

Ni wazi siku Dr. Slaa akiongea anaweza akabadili upepo wa kisiasa ambao tayari wanaCHADEMA wanaamini wameshavuka.

Tumuache Dr. Slaa sasa ufanye maamuzi yake binafsi kama ni ya kurudi au kuachana na siasa bila kejeli au dhihaka. Hapa pana vita isiyoonekana kwa macho na kauli ya Dr. Slaa inaweza kuwa na athari endapo ataendelea kutukanwa kisha akaamua tukose wote kama yule mama na nabii Suleman.

Nawasilisha.

Dr zslaa anacheza mchezo wimbo haujui. Yeye kaingia kwenye private company ya Mtei (akili) na ndesamburo (hela). Kafanya mazito kukinyanyua chama lakini wente kampuni wamesuniri vya kutosha sasa wamechoka: wanataja RETURN ON INVETMENT, warudishe uwekezaji wao. Angekuwa tajiri kidogo..
...., lakini Lowassa hamfikii. Sana sana ajighsramie mwenyewe na yeye lofa, wenye malu haeataki kulipia campaign zingine. Wamemtosa Slaa kwa sabanu hiyo bora aende Roma apumzike watu awaachie biashara yao. WM.
 
Bora asiongee tuu CCM jana wamejitokeza imebidi wazee wa CDM wamkimbilie Dr.Slaa na kupiga nae picha kuonyesha bado yuko kundini.

Chezeya influence ya Dr.Slaa wewe na wasiwasi wa CDM huko ndani kwa sasa. Mwenyekiti mwenyewe na jeuri yake anakubali apewe muda ngoja tuone hizo campaign zianze bila ya Slaa muone mziki wenyewe utakuwaje ndio tutajuwa kama kweli Lowassa alipata wadhamini 1.6m wa CDM au Slaa ana impact kubwa kwenye siasa za CDM.

Moto wa siku moja tu waandishi wamesahau jana iilikuwa siku Lowassa pia kupata ridhaa ya chama chake kipya, habari ilikuwa ni CCM tu.
 
Wanamtenga na kumtusi eti ana tamaa hivi ni kweli ana tamaa? mmemtumia kama kondomu alafu leo mnajiita mna demokrasia kwasababu mmenunuliwa? huu ni usaliti mkubwa
 
JD baba, Sikonge huyu,,,,,,

tumblr_mlo8kqihof1rfak0to1_500.jpg

Unashangaa hili?Mbowe ndo ameanza kampeni za kumchafua Dr Slaa kupitia hivi vijibwa vyake,kama kawaida yake.

Watu tunataka mabadiliko lakini ndani ya mioyo yetu twataka kulinda maslahi yetu, hapa mbowe ameshatudalalia
 
Si lazima muandike kingereza jamani mnajiaibisha..
 
ndo wewe nini huyo? kama ndio basi uko bomba mbayaaaa yani! na bila shaka huo mtindi umethibitishwa na TBS.
ndo maana unaringa kumbe humu kwa sababu mrembo. sijui nitakupataje?

JD baba, Sikonge huyu,,,,,,

tumblr_mlo8kqihof1rfak0to1_500.jpg
 
Ni kweli huyu Mdada ana mtindi ile mbaya, Wowowo pia. Mwenzio nafaidi.

Ohhh, Sikonge ni Ngosha kijana na tena ni Shehe Kipezeo team, Wabeba mizigo, unajua tena Wanyamwezi.

Ana Pacha wake mzuri tu kama huyu naweza kukugawia ukija Sikonge maana naona Udenda umekutoka.

Ulipoona tu picha ukatoa WOJU......

Mie sivutu Majani kijana, natumia tu Jack Daniels..... JD Baba.....

ndo wewe nini huyo? kama ndio basi uko bomba mbayaaaa yani! na bila shaka huo mtindi umethibitishwa na TBS.
ndo maana unaringa kumbe humu kwa sababu mrembo. sijui nitakupataje?
 
Last edited by a moderator:
Serikali iingilie Kati suala la Dr.Slaa pengine kawekwa chini ya Ulinzi kama fujo alizofanyiwa Lipumba jana ili asijiuzulu.
 
yaani hapo hujakosea kabisa mkuu. yaani hapo hata ukiweka mtego utakuta nimenasa!

Ni kweli huyu Mdada ana mtindi ile mbaya, Wowowo pia. Mwenzio nafaidi.

Ohhh, Sikonge ni Ngosha kijana na tena ni Shehe Kipezeo team, Wabeba mizigo, unajua tena Wanyamwezi.

Ana Pacha wake mzuri tu kama huyu naweza kukugawia ukija Sikonge maana naona Udenda umekutoka.

Ulipoona tu picha ukatoa WOJU......

Mie sivutu Majani kijana, natumia tu Jack Daniels..... JD Baba.....
 
Last edited by a moderator:
Wanamtenga na kumtusi eti ana tamaa hivi ni kweli ana tamaa? mmemtumia kama kondomu alafu leo mnajiita mna demokrasia kwasababu mmenunuliwa? huu ni usaliti mkubwa

Wanaomtukana Dr. Slaa hawaijui siasa za upinzani Tanzania. Huwezi kuzungumzia upinzani wa Tanzania ukaaacha Jina la Dr. Slaa, Prof. Lipumba na Zito. Huo ndio ukweli, na endapo wangelijua hilo wange kaa kimya kuliko ku mprovoke huyo mzee, siku akichukia akaamua kufungua kinywa chake athari zake mtaziona.
 
Aaaah wapi, umepotoka big time. Siasa za Tanzania haziko hivyo. Nyingi zinajengwa kwenye mfumo wa kitaasisi sio mtu. Ndio maana hata baadaya CCM kuharibu sana lakini bado waliendelea kupeta kwa sasa wana wanachama wanaoamini ktk CCM kama Taasisi na siyo uwepo wa mtu. Dhana hiyo inaanza kubadilika kidogo kwamba watu sasa wanaangalia mtu mwenye uwezo na siyo wa kubebwa na utaasisi wake
 
Kwani Dr slaa na lipumba na zito wakfa vyama vya upinzan havtakuwepo tena? Tanzania je vyama vya siasa ni MTU au ni taasisi
 
Back
Top Bottom