- Brother unataka nilete zile picha za Sabodo anavyowapa hela viongozi wako?
le mutuz
you have said it all mkuu.cdm ikifa tutauzwa hata sisi na wanetu.
Baada ya kuombea Amani unakaa kuomba CDM idumu kwani ni chama toka mbinguni? Wee akili huna unaandika utumbo kabisa ili mradi hesabu yako ya siku ikae vyema pale mtaa wa ufipa. Ombea CCM iendelee kuongoza na siyo CDM kwani anguko la CDM ni lazima na halina mjadala. Nadhani wee utakufa bila hata kuona CDM inaongoza nchi na Vitu kuu vyako kamwe hawataona huo ndio ukweli.Ni mafikira tu, kwa hali ilivyo ni rahisi sana CCM kufa na mambo yakaendelea kuwa mazuri kwa nchi hii, lakini ni hatari sana kwa CDM kufa maana maisha TZ yatabadilika kwa kasi ya ajabu ikiwemo matabaka kuongezeka na wizi kuwa haki ya watumishi wa serikali na viongozi wa CCM. Chukua muda kuomba na kushiriki kuhakikisha CDM inakuwepo na inakuwa na nguvu za umma kila jua linapowaka. KIBOKO CHA MAFISADI, TUMAINI JIPYA LA TANZANIA MPYA.
Hamuwezi kuchukua nchi hii bado sana CDM. Ni chama cha kichanga sana. Viongozi wenu wengi wao ni wakabila, wadini na wakanda sana. Hiki chama ni Kama chama cha ukoo mfano Lissu yupo na dada yake bungeni, Lema yupo pia na dada yake, Mtei kaweka mkwe wake kabisa kukata mzizi wa fitna yaan Hiki chama Hiki mmmmmh mmmhTushauzwa siku nyingi!... Unajua kilichomo kwenye mikataba 16 ya china iliyosainiwa siku moja? .. Obama kasaini mikataba mingapi?... Bush anafuata nini Tanzania?.. Ni Mengi ya kujiuliza. CCM ni janga la taifa!
Chadema ndio tumaini pekee lililo bakia Tanzania :target:
Chadema ndio tumaini pekee lililo bakia Tanzania :target:
Siamini chama chochote cha siasa ila kwa sasa CDM inaonyesha uzalendo kuliko hawa Mafisadi wameshiba mpaka wanacheua pumba
Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
Tushauzwa siku nyingi!... Unajua kilichomo kwenye mikataba 16 ya china iliyosainiwa siku moja? .. Obama kasaini mikataba mingapi?... Bush anafuata nini Tanzania?.. Ni Mengi ya kujiuliza. CCM ni janga la taifa!
nilitegemea kwenye maelezo nione ni jinsi gani CCM haitabaki... labda ungesema Tz haitabaki
Hamuwezi kuchukua nchi hii bado sana CDM. Ni chama cha kichanga sana. Viongozi wenu wengi wao ni wakabila, wadini na wakanda sana. Hiki chama ni Kama chama cha ukoo mfano Lissu yupo na dada yake bungeni, Lema yupo pia na dada yake, Mtei kaweka mkwe wake kabisa kukata mzizi wa fitna yaan Hiki chama Hiki mmmmmh mmmh
Ni mafikira tu, kwa hali ilivyo ni rahisi sana CCM kufa na mambo yakaendelea kuwa mazuri kwa nchi hii, lakini ni hatari sana kwa CDM kufa maana maisha TZ yatabadilika kwa kasi ya ajabu ikiwemo matabaka kuongezeka na wizi kuwa haki ya watumishi wa serikali na viongozi wa CCM. Chukua muda kuomba na kushiriki kuhakikisha CDM inakuwepo na inakuwa na nguvu za umma kila jua linapowaka. KIBOKO CHA MAFISADI, TUMAINI JIPYA LA TANZANIA MPYA.