Siku CHADEMA ikifa

Siku CHADEMA ikifa

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELO ( CHADEMA) NI mmoja ya vyama vya upinzani nchini ambacho kimeonyesha japo kwa kiasi kuitikisha ccm na kuonekana kukubalika na vijana wengi wa kijiweni na wale wenye uelewa mdogo wa mabo ya dunia, najiuliza siku chadema IKIFA TUTAPATA CHAMA KINGINE KAMA HIKI??/

umesahau vyuo vikuu pia kinakubalika 90%
 
CHADEME ipo ICU chini ya uangalizi wa BABU wa LOLIONDO(SLAA),bado anaamini kikombe kimoja tu CHADEMA kitapona.

Hali ni mbaya sana,nipo hapa vijana wa BAVICHA wanamikakati mizito ya kuwashambulia wasaliti wao.

...guess who is next to CHADEMA....Kazi bado mbichi sana kwa wapinzani

na babu yako ni wa longido k.wewe.... silly
 
Hamuwezi kuchukua nchi hii bado sana CDM. Ni chama cha kichanga sana. Viongozi wenu wengi wao ni wakabila, wadini na wakanda sana. Hiki chama ni Kama chama cha ukoo mfano Lissu yupo na dada yake bungeni, Lema yupo pia na dada yake, Mtei kaweka mkwe wake kabisa kukata mzizi wa fitna yaan Hiki chama Hiki mmmmmh mmmh
Ni kweli kabisa, sababu zipo wazi sana kwa mwenye akili, vyama wakati vinaanza, vinaanza na wanadungu wengi kuliko wanachama wa koo mbalimbali, ni hali ya kawaida kwa chama kinachooanza, kwa CDM hali ni hiyo hiyo, wanaanza wanaukoo, kwa koo kama hamsini hivi harafu wengine wanajiunga polepole tena kuwa kufuata katiba na mafanikio yanayopatikana. AIBU NI KWA CCM yenye zaidi ya miaka 59 tangu TANU, ambapo mpaka leo majina ni yaleyale ya koo zile kama 8-50 tu, Nape na Baba yake, Mwinyi na Wanae, Msuya na Mwanae David, Kikwete na Mkewe na Mwanae Rz1, Karume na Wanae, Mzindakaya na Mwanae huko Busega, Makamba na Mwanae January, Kawawa na Wanae Vita na dada yake, majina ni mengi sana kwa CCM. ukilinganisha after 50 years bado koo ni zile zile na watumwa wao, huwezi kusema CDM ni ya familia au koo au kabila, inamiaka pungufu ya 25 nusu ya CCM. AIBU YA CHAMA KUWA CHA WATU WALEWALE NI KWA CCM. Tumeona ubunge wa EA watoto wa wakubwa CCM walivyonyukana, ni wao tu Kimbisa na Shyrose ni watumwa wao tu, lazima wawepo kuonogesha mambo.
Cha mwisho unaangalia koo hizo za CDM na KOO ZA CCM zinafanya nini kwa taifa hili? upande mmoja wezi na upande mwingine wapinga wizi, unachagua nini??? kuna mtu anasaini mkataba wa kitaifa kwa niaba ya wananchi harafu anakomaa ni siri kati yake na mwekezaji??? huyo si ni mwizi au unataka umpe jina gani jipya hapa duniani???
 
Back
Top Bottom