Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,377
UTUMBO mtupu huu
Wewe una uhakika wa kuiona kesho? watu wajinga huwa wanawaza vitu vya kijingajinga tu. Pumba.vu kabisa.wanajf!nini mustakabali wa chadema ikishindwa kuchukua dola 2015?je kitasambaratika vipande vipande?au kitakufa kabisa?kwa yanayoendelea misri watanzania wamejifunza hatuwezi kuwapa wapinzani nchi,karibuni kwa michango yenu wakuu
wanajf!nini mustakabali wa chadema ikishindwa kuchukua dola 2015?je kitasambaratika vipande vipande?au kitakufa kabisa?kwa yanayoendelea misri watanzania wamejifunza hatuwezi kuwapa wapinzani nchi,karibuni kwa michango yenu wakuu
Baada ya kuombea Amani unakaa kuomba CDM idumu kwani ni chama toka mbinguni? Wee akili huna unaandika utumbo kabisa ili mradi hesabu yako ya siku ikae vyema pale mtaa wa ufipa. Ombea CCM iendelee kuongoza na siyo CDM kwani anguko la CDM ni lazima na halina mjadala. Nadhani wee utakufa bila hata kuona CDM inaongoza nchi na Vitu kuu vyako kamwe hawataona huo ndio ukweli.

Ni mafikira tu, kwa hali ilivyo ni rahisi sana CCM kufa na mambo yakaendelea kuwa mazuri kwa nchi hii, lakini ni hatari sana kwa CDM kufa maana maisha TZ yatabadilika kwa kasi ya ajabu ikiwemo matabaka kuongezeka na wizi kuwa haki ya watumishi wa serikali na viongozi wa CCM. Chukua muda kuomba na kushiriki kuhakikisha CDM inakuwepo na inakuwa na nguvu za umma kila jua linapowaka. KIBOKO CHA MAFISADI, TUMAINI JIPYA LA TANZANIA MPYA.
Hakika na wanachokitaka hawa wana CCM chukua chako Mapema NI kuona CDM inakufa ILI wachukue vya wadanganyika Mapema na kuwanyonya wabongo watakavyo!Bila kuwa na Chama cha kuwasemea wangong'e nchi yetu chini ya Chukua chako Mapema na mwanao na wanandugu na wake wanakosea ccm ina wenyewe, hakika muda is mrefu watu watajutia kujitajirisha Sana na kuendelea kuwazidishia kodi wanyonge ziziso na kichwa wala Miguu na kuweka kodi hadi katika mpesa na PAYE Huku katika sekta ya madini Ikiachwa! It is unwanted and they will have to pay for unyanyasaji na unyonyanyajinwa wanyonge, BORA CDM kisife ILI CCM idumu!Ni mafikira tu, kwa hali ilivyo ni rahisi sana CCM kufa na mambo yakaendelea kuwa mazuri kwa nchi hii, lakini ni hatari sana kwa CDM kufa maana maisha TZ yatabadilika kwa kasi ya ajabu ikiwemo matabaka kuongezeka na wizi kuwa haki ya watumishi wa serikali na viongozi wa CCM. Chukua muda kuomba na kushiriki kuhakikisha CDM inakuwepo na inakuwa na nguvu za umma kila jua linapowaka. KIBOKO CHA MAFISADI, TUMAINI JIPYA LA TANZANIA MPYA.
Baada ya kuombea Amani unakaa kuomba CDM idumu kwani ni chama toka mbinguni? Wee akili huna unaandika utumbo kabisa ili mradi hesabu yako ya siku ikae vyema pale mtaa wa ufipa. Ombea CCM iendelee kuongoza na siyo CDM kwani anguko la CDM ni lazima na halina mjadala. Nadhani wee utakufa bila hata kuona CDM inaongoza nchi na Vitu kuu vyako kamwe hawataona huo ndio ukweli.
Na wee Fikirikwanza Kama jina lako lisemavyo Kabla hajapost huu utumbo wako
Kwa kubilisi ndoa za watu na kufanya ugaidi usio na kifani hapa TANZANIA