Siku CHADEMA ikifa

Siku CHADEMA ikifa

utakufa wewe CDM itaendelea kuwa hai. shame on u

aah kamanda hujanielewa hebu soma vizuri kaka,hakika cdm haitakufa japo mafsad wanataka iwe hvyo,mi nmejaribu tabilia tu kama iktokea hvyo japo stegemei,kamanda uwe makini M4C FOREVER,
 
CDM yaweza kufa kwa sababu ya juhudi za mamluki wachache, lakini lililo bora ni kuwa fikra hazifi, wengi wenye fikra chanya wataifufua CDM na kufikia maono na malengo ya umma!
 
1.vijana wengi hasa wasomi wataka tamaa na nchi yao.
2.magamba watafuja na kuiba rasilimali zetu kzaz hadi kzaz.
3.dalili za kutokea waasi wa kuiondoa ccm madarakan ztaonekana.
4.ndo mwisho wa upinzani tz,watabak mamluki kama kina masalia,choyo,pumba,murema,kumbatia,mzito,kwan hawana madhara kwa magamba. CCM OYEEE,ONGEZENI CCM WENZANGU MAANA CHADEMA WAMEZIDI BORA WAFE TU AAH.

- No way sio CCM interest Chadema kufa, isipokuwa ni our interest kwa Chadema kuwa dhaifu kama ilivyo sasa hasa kwenye kuelekea uchaguzi 2015, ninasema kwenye uchaguzi huu wa 2015 ukweli wa Chadema ni chama kinachotafuta madaraka tu utjiweka wazi wala CCM tusiwe na wasi wasi maana kwenye dhana ya kutafuta mgombea Urais Chadema ana tatizo kubwa sana this time around ambalo litaishia kuapasua na kuwaacha hawana nguvu kabisa, na pili kwenye kuyatetea majimbo ya Ubungo na Kawe ndipo tutakapowaua nguvu kabisa ya majimbo mengine huko mikoani

- Ni muhimu sana CCM tukaweka nguvu kubwa sana kwenye haya majimbo mawili kwa sababu pana sababu kubwa ya kuwapunguza nguvu Chadema which is our best interest, ila kufa sio our interest!1

le mutuz
 
Kweli kabisa mkuu....haya Nenda Ufipa kachukue ya leo ukalishe watoto

Hakiiii....

Naona umeona mnayoyafanya nyie ndiyo kila mtu anafanya. Maana wewe una kipato mara mbili. Kule Ilala, hata mtaa siujui na pale Lumumba.

CHADEMA ni kama mchanga wa bahari; haiwezi kufa. Ni kama maji ya Baharini. Hayawezi kukauka.
 
- No way sio CCM interest Chadema kufa, isipokuwa ni our interest kwa Chadema kuwa dhaifu kama ilivyo sasa hasa kwenye kuelekea uchaguzi 2015, ninasema kwenye uchaguzi huu wa 2015 ukweli wa Chadema ni chama kinachotafuta madaraka tu utjiweka wazi wala CCM tusiwe na wasi wasi maana kwenye dhana ya kutafuta mgombea Urais Chadema ana tatizo kubwa sana this time around ambalo litaishia kuapasua na kuwaacha hawana nguvu kabisa, na pili kwenye kuyatetea majimbo ya Ubungo na Kawe ndipo tutakapowaua nguvu kabisa ya majimbo mengine huko mikoani

- Ni muhimu sana CCM tukaweka nguvu kubwa sana kwenye haya majimbo mawili kwa sababu pana sababu kubwa ya kuwapunguza nguvu Chadema which is our best interest, ila kufa sio our interest!1

le mutuz

hadithi ya fisi na mkono wa binadamu.
 
malecela acha kudanganya watu umekaa ulaya na kuosha vyombo kwa wazungu na kusafisha vyoo leo unakuja tanzania unataka cheo ndio maana ulitoswa mjumbe wa nec na magamba,wabinafsi wakubwa wewe na ukoo wako wa jonh malecela.
 
Huo ni mtazamo wa Magamba, lakini wanapaswa kutambua kwamba hayo ni maneno ya mfa maji kwani haishi kutapatapa. CHADEMA ni chama makini ambacho kina simamia ITIKADI ZAKE NA FALSAFA kwa makini zaidi. CHADEMA ni chama chenye viongozi makini ambao hawayumbishwi na fitina za Magamba hatakidogo. watakisimamia chama haidi kitakapo ingia IKULU.

VIVA CHADEMA VIVA TANZANIA ALUTA CONTINUE
 
Ujinga sio mpaka ujitangaze nadhani huu ni ukosefu wa akili ndio tunasema ni vyema watu kupimwa akili vizuri kabla ya kuandika ujumbe ktk jamii ya wanaharakiti kama sisi kutuandikia upuuzi huu we ni kiazi kweli achana na Chadema ni wasomi tunaojijua.
 
- No way sio CCM interest Chadema kufa, isipokuwa ni our interest kwa Chadema kuwa dhaifu kama ilivyo sasa hasa kwenye kuelekea uchaguzi 2015, ninasema kwenye uchaguzi huu wa 2015 ukweli wa Chadema ni chama kinachotafuta madaraka tu utjiweka wazi wala CCM tusiwe na wasi wasi maana kwenye dhana ya kutafuta mgombea Urais Chadema ana tatizo kubwa sana this time around ambalo litaishia kuapasua na kuwaacha hawana nguvu kabisa, na pili kwenye kuyatetea majimbo ya Ubungo na Kawe ndipo tutakapowaua nguvu kabisa ya majimbo mengine huko mikoani

- Ni muhimu sana CCM tukaweka nguvu kubwa sana kwenye haya majimbo mawili kwa sababu pana sababu kubwa ya kuwapunguza nguvu Chadema which is our best interest, ila kufa sio our interest!1

le mutuz

poor mind
 
malecela acha kudanganya watu umekaa ulaya na kuosha vyombo kwa wazungu na kusafisha vyoo leo unakuja tanzania unataka cheo ndio maana ulitoswa mjumbe wa nec na magamba,wabinafsi wakubwa wewe na ukoo wako wa jonh malecela.

- Hapana mimi ni mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, majuzi nimechagua Mwenyekiti wa CCM Rais wako wa sasa na 2015 nitakuchagulia nani awe Rais wako so relax, menine ni nonsense tupu!!

Le Mutuz
 
- No way sio CCM interest Chadema kufa, isipokuwa ni our interest kwa Chadema kuwa dhaifu kama ilivyo sasa hasa kwenye kuelekea uchaguzi 2015, ninasema kwenye uchaguzi huu wa 2015 ukweli wa Chadema ni chama kinachotafuta madaraka tu utjiweka wazi wala CCM tusiwe na wasi wasi maana kwenye dhana ya kutafuta mgombea Urais Chadema ana tatizo kubwa sana this time around ambalo litaishia kuapasua na kuwaacha hawana nguvu kabisa, na pili kwenye kuyatetea majimbo ya Ubungo na Kawe ndipo tutakapowaua nguvu kabisa ya majimbo mengine huko mikoani

- Ni muhimu sana CCM tukaweka nguvu kubwa sana kwenye haya majimbo mawili kwa sababu pana sababu kubwa ya kuwapunguza nguvu Chadema which is our best interest, ila kufa sio our interest!1

le mutuz
200445_239113172888257_1958812821_n.jpg
 
- Hapana mimi ni mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, majuzi nimechagua Mwenyekiti wa CCM Rais wako wa sasa na 2015 nitakuchagulia nani awe Rais wako so relax, menine ni nonsense tupu!!

Le Mutuz

we jinga jinga le mutuz hakika kutetea jimbo la kawe na ubungo ni ndoto ni sawa na kutetea arusha mjini au karatu mmesahau arumeru syo subirini igunga tena nyambafu.
 
- Well, kwenye haya majimbo mawili hamchomoki, CCM sasa tuna uongozi imara sana ambao hauwezi kuruhusu tena magomvi baina ya wagombea wetu kutupotezea majimbo, you haitatokea under Kinana, kuna majimbo mengi sana mliyapata kwa sababu ya magomvi baina ya wagombea wa CCM, zile Shilliingi Million 30 wanazokopeshwa wagombea wenu safari hii haziwezi kuwasaidia kulinda haya majimbo, Mnyika na Halima Mdee ni wagombea dhaifu sana na hata wewe unajua, so dawa ni CCM kuweka nguvu kubwa kwenye haya majimbo mawili ili mlete nguvu yenu yote ya Taifa hapa tuweze kuwapiga kirahisi sana majimbo mengine.

- Again kwenye urais hamchomoki mna uchu sana wa madaraka bila kutumia akili wala political strategy zilizokwenda shule, mlitakiwa by now muwe na mgombea tayari ambaye mmeshaanza kumnadi, lakini hamuwezi kwa sababu kila mmoja huko ana uchu wa power, Zitto ndiye mgombea wenu saafi na anayekubalika ingawa hawezi kushinda peke yake maana itabidi afanye kampeni peke yake najua hamuwezi kumsaidia, maana anavuruga the agenda ya North so you have a problem na wala hamuwezi kukubali awe mgombea wenu, Slaa hakubaliki na hana tena huo uwezo, Lema hawezi hata kuwa Mkuu wa Wilaya maana itakuwa maandamano kila siku na kuuua biashara kama alivyolifanyia jiji la Arusha,

- Off course CCM hatuwezi kuwachukulia majimbo yote ingawa tunaweza ila ni muhimu kukawa na balance kwa kuwachia baadhi ya majimbo, kwa sababu kumbuka it is never a CCM's interest Chadema kufa ingawa nina wasi wasi sana kwamba baada ya uchaguzi wa 2015 mtakapokosa Urais ninaziona dalili kubwa za kufa kwa Chadema na kutokea vyama viwili kimoja cha North na kingine cha wananchi wote!!

- Isispokuwa hili la mgombea Urais ndilo linalowamaliza na litakalo wamaliza pamoja na majimbo ya KAwe na Ubungo!1

- KIDUMU CCM!

tunajua nyie watoto waccm hamuwez ipinga coz mnafaidka nacho uwenda umeahidiwa ukuu wa wilaya au mkoa au ukurugenzi hatutoshangaa tukjaona hli,ccm mnataka kuwaaminisha watz kwamba cdm majmbo hayo mloshndwa mmewaachia? Kama n kwel fanyen hki kama mnajiamin TUPATE TUME HURU YA UCHAGUZI,BORESHENI DAFTARI LA WAPIGA KURA mkfanya haya taamin huu ujinga wako.
 
- so wale wote wasiokubali mawazo yako ni wajinga ndio maana kuna vurugu sana humu!!

le mutuz
 
- Well, kwenye haya majimbo mawili hamchomoki, CCM sasa tuna uongozi imara sana ambao hauwezi kuruhusu tena magomvi baina ya wagombea wetu kutupotezea majimbo, you haitatokea under Kinana, kuna majimbo mengi sana mliyapata kwa sababu ya magomvi baina ya wagombea wa CCM, zile Shilliingi Million 30 wanazokopeshwa wagombea wenu safari hii haziwezi kuwasaidia kulinda haya majimbo, Mnyika na Halima Mdee ni wagombea dhaifu sana na hata wewe unajua, so dawa ni CCM kuweka nguvu kubwa kwenye haya majimbo mawili ili mlete nguvu yenu yote ya Taifa hapa tuweze kuwapiga kirahisi sana majimbo mengine.

- Again kwenye urais hamchomoki mna uchu sana wa madaraka bila kutumia akili wala political strategy zilizokwenda shule, mlitakiwa by now muwe na mgombea tayari ambaye mmeshaanza kumnadi, lakini hamuwezi kwa sababu kila mmoja huko ana uchu wa power, Zitto ndiye mgombea wenu saafi na anayekubalika ingawa hawezi kushinda peke yake maana itabidi afanye kampeni peke yake najua hamuwezi kumsaidia, maana anavuruga the agenda ya North so you have a problem na wala hamuwezi kukubali awe mgombea wenu, Slaa hakubaliki na hana tena huo uwezo, Lema hawezi hata kuwa Mkuu wa Wilaya maana itakuwa maandamano kila siku na kuuua biashara kama alivyolifanyia jiji la Arusha,

- Off course CCM hatuwezi kuwachukulia majimbo yote ingawa tunaweza ila ni muhimu kukawa na balance kwa kuwachia baadhi ya majimbo, kwa sababu kumbuka it is never a CCM's interest Chadema kufa ingawa nina wasi wasi sana kwamba baada ya uchaguzi wa 2015 mtakapokosa Urais ninaziona dalili kubwa za kufa kwa Chadema na kutokea vyama viwili kimoja cha North na kingine cha wananchi wote!!

- Isispokuwa hili la mgombea Urais ndilo linalowamaliza na litakalo wamaliza pamoja na majimbo ya KAwe na Ubungo!1

- KIDUMU CCM!

Le Mutuz

we lijinga tu,inamaana hata jwtz pale lugalo walichagua cdm ksa wagombea wenu waligombana? NG'UMBI ALIGOMBANA NA NANI MPAKA AKAJERUHIWA HVYO MPAKA MAHAKAMANI? Subirini lazma muondoke 2015.
 
Back
Top Bottom