wajina pole,ila huku ni full ubazazi hofu usijetonesha kidonda...all the bestIlikuwa ni siku ya alhamisi, mpenzi wangu alinipia simu kwamba anaitaji tuonane. Kwa kweli alinishtua sana, nilijua labda amepatwa na tatizo. Nilipofika kwake aliniambia kwamba anaitaji kutoka na mimi kwenye sikukuu ya pasaka. Kwa7bu ya upendo wangu kwake nilimkubalia ombi lake. Ilipofika siku ya jumapili asubuhi alinipigia simu kwamba anajisikia vibaya (anaumwa), kwahiyo hawezi kwenda sehemu yoyote siku hiyo. Kwa kweli nilimuhurumia sana, nakumuahidi nitaenda kumuona siku hiyo. Japo kuwa alinikatalia kwenda kumuona, sikukata tamaa jioni nilienda kumuona, cha kushangaza sikumkuta na mlango ulikuwa umefungwa. Nikaanza kuwauliza majirani zake, walinijibu kwamba aliwahaga anakuja kwangu, nalipojaribu kupigia simu hakupatikana. Nikaamua kurudi nyumbani, wakat nipo njiani nikapigiwa simu na rafiki yangu kwamba amemuona mpenzi wangu akiwa na msichana mwingine wakiwa kwenye Bar fulani. Nakachukua bodaboda hadi eneo husika na nilichokishuhudia ni Mungu mwenyewe anajua. Jamani nimevurugwa sana. Nilikuwa naitaji marafiki wa kunifariji. Sichagui Dini, kabila wala jinsia. Wote kwangu ni marafiki tu.
SanaAlikupa hili jina ashukuriwe
teh teh,umuhimu wa kidumu,ndoo na jaba hujulikana wakati kama huo..Hahahah! Manufaa ya michepuko huja siku kama hizi za disappointments !!!
Mpk uwe nachoteh teh,umuhimu wa kidumu,ndoo na jaba hujulikana wakati kama huo..
Kilichokuchekesha nini???![]()
![]()
![]()
sijui kwann nimecheka sana aiseee
Akutalajia Mwenzio.Inatokeaga...
Karibu katika ulimwengu wa wapendanao!! BTW Pole sana!!Ilikuwa ni siku ya alhamisi, mpenzi wangu alinipia simu kwamba anaitaji tuonane. Kwa kweli alinishtua sana, nilijua labda amepatwa na tatizo. Nilipofika kwake aliniambia kwamba anaitaji kutoka na mimi kwenye sikukuu ya pasaka. Kwa7bu ya upendo wangu kwake nilimkubalia ombi lake. Ilipofika siku ya jumapili asubuhi alinipigia simu kwamba anajisikia vibaya (anaumwa), kwahiyo hawezi kwenda sehemu yoyote siku hiyo. Kwa kweli nilimuhurumia sana, nakumuahidi nitaenda kumuona siku hiyo. Japo kuwa alinikatalia kwenda kumuona, sikukata tamaa jioni nilienda kumuona, cha kushangaza sikumkuta na mlango ulikuwa umefungwa. Nikaanza kuwauliza majirani zake, walinijibu kwamba aliwahaga anakuja kwangu, nalipojaribu kupigia simu hakupatikana. Nikaamua kurudi nyumbani, wakat nipo njiani nikapigiwa simu na rafiki yangu kwamba amemuona mpenzi wangu akiwa na msichana mwingine wakiwa kwenye Bar fulani. Nakachukua bodaboda hadi eneo husika na nilichokishuhudia ni Mungu mwenyewe anajua. Jamani nimevurugwa sana. Nilikuwa naitaji marafiki wa kunifariji. Sichagui Dini, kabila wala jinsia. Wote kwangu ni marafiki tu.
teh teh,umuhimu wa kidumu,ndoo na jaba hujulikana wakati kama huo..
Wala hatafuti marafiki, anatafuta mtu wa kukila kipochi-manyoya ili kulipiza kisasi kwa jamaa yake!!Hivi ni mugabe ama nani aliesema women of today have no time to mourn love? sasa unatafuta marafiki wa kukufariji. Utafarijiwa hadi urukwe akili. Haya bwana
Wala hatafuti marafiki, anatafuta mtu wa kukila kipochi-manyoya ili kulipiza kisasi kwa jamaa yake!!
Wala hatafuti hayo makanisa wala nini na kila mtu tayari anajua anachokitafuta ni nini ndo maana kuna washkaji hapo juu wamesema kuwa wanawahi PM!!Bora akile mwenyewe kuliko wamtapeli. Khaa. Nikajua atatafuta kanisa ama msikiti kwanza