Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,963
Pole..Mshikaji sio muaminifu cha msingi tuliza kichwa usije ukafanya maamuzi mabaya.
ulimkuta anafanya nn?na nani?mbona kama hujamalizia vile?Ilikuwa ni siku ya alhamisi, mpenzi wangu alinipia simu kwamba anaitaji tuonane. Kwa kweli alinishtua sana, nilijua labda amepatwa na tatizo. Nilipofika kwake aliniambia kwamba anaitaji kutoka na mimi kwenye sikukuu ya pasaka. Kwa7bu ya upendo wangu kwake nilimkubalia ombi lake. Ilipofika siku ya jumapili asubuhi alinipigia simu kwamba anajisikia vibaya (anaumwa), kwahiyo hawezi kwenda sehemu yoyote siku hiyo. Kwa kweli nilimuhurumia sana, nakumuahidi nitaenda kumuona siku hiyo. Japo kuwa alinikatalia kwenda kumuona, sikukata tamaa jioni nilienda kumuona, cha kushangaza sikumkuta na mlango ulikuwa umefungwa. Nikaanza kuwauliza majirani zake, walinijibu kwamba aliwahaga anakuja kwangu, nalipojaribu kupigia simu hakupatikana. Nikaamua kurudi nyumbani, wakat nipo njiani nikapigiwa simu na rafiki yangu kwamba amemuona mpenzi wangu akiwa na msichana mwingine wakiwa kwenye Bar fulani. Nakachukua bodaboda hadi eneo husika na nilichokishuhudia ni Mungu mwenyewe anajua. Jamani nimevurugwa sana. Nilikuwa naitaji marafiki wa kunifariji. Sichagui Dini, kabila wala jinsia. Wote kwangu ni marafiki tu.
Mpe hapa nasie tupoozeke lolPole mumy,hebu nitafute PM nikupe ushauri upoze huo moyo uliovunjika.
Maana kivyovyote maisha lazima yaendee.
Natamani akueleweSikia rafiki humu ndan hakuna awezae kuku fariji inavyo stahili maana faraja za wanadamu zote hazitoshelezi mwishowe kuumia tena,majuto,lawama,nk.mwite YESU awe mfarij wako had mwisho wa dahari.
Duuh mwenzenu akiumizwa na nyie mnaumia pia?Mpe hapa nasie tupoozeke lol
YeahDuuh mwenzenu akiumizwa na nyie mnaumia pia?
pole bana sisi wa mikoani hatuko hivyo sawa mamdogoo.Nawashukuru sana kwa wale wote walionipa ushauri na wale walionipa pole.
Wewe umewahi kuumizwaYeah
Ndiyo...Wewe umewahi kuumizwa
Haaa polee mara ngapi.?Ndiyo...
Kuna ambae hajawahi kuumizwa kweli?
Hata sikumbuki...Haaa polee mara ngapi.?
hehe, you will never know your favourite colour unless you have varieties to choose...Huu ushauri wako huu..
Mhhmhmhnh hapa kuna utata,hehe, you will never know your favourite colour unless you have varieties to choose...
hayo ni maamuzi tu...ukitaka hata sasa huwezi kukosaMpk uwe nacho
ACHA UJINGA!Pole mumy,hebu nitafute PM nikupe ushauri upoze huo moyo uliovunjika.
Maana kivyovyote maisha lazima yaendee.