MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,085
Pengine shemale[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hehehe usitaftie ban bure ! hehehe le bosslady
Pengine shemale[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimfatilize wapi mi nafatiliaga wasio na akili nzuri??? Nilipataga ubuyu wake tu basi ndio nikajua,mi nafatiliaga tia maji tia maji!!!mbiti niombe msamaha
utakuwa mtu wa ajabu kujibizana na chiziKama nilivyokuwa natarajia baada ya kupata habari za jaribio la kuchukua uhai wa Tundu Lisu, akili za watu wengi ziliwatuma kumhisi rais Magufuli kuwa ndiye anahusika na jaribio hilo.
Mpaka sasa huyo bwana mkubwa hajalizungumzia tena hadharani hilo jambo zaidi ya yale maneno yake machache ya kulaani hilo shambulio kwenye mtandao wa Twitter.
Maneno mengi sana yanasemwa na nadharia kadha wa kadha zimebuniwa kuhusu uhusika wake.
Na kwa kadri nijuavyo yeye hajasema lolote juu ya hayo yanayosemwa. Naamini hajasema hivyo kwa makusudi tu na si kwa sababu hajui kuwa anasemwa semwa na kuhisiwa kuwa yeye ndiye mhusika.
Naamini huwa anapita sana humu na kusoma yanayosemwa na watu anaowaongoza.
Lakini naamini pia ya kwamba ipo siku atalizungumzia tu hili suala.
Na hiyo siku ikifika, maneno atakayoyasema, yasije tu kuwaliza. Yule bwana siyo mtu wa PC [political correctness].
Mdomo wake hauna chujio. Yatokayo huwa yanatoka hivyo hivyo yalivyo. Hayapitii chujio wala uhariri.
Siku ya yeye kulizungumzia hilo suala, naamini atakwaruza na kujeruhi hisia za watu wengi.
Hivyo kaeni mkao wa kupokea maneno ambayo hamkuyataraji.. msije tu mkasema Ngabu hakuwatonya!
Ni mimi wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,
Alhaji Ngabu.
am sole mama lao hahaa ananikeraga sana huyu ! mashauziiiiiiii km she bwana
Uliambiwa ukweli kwanini ulizaliwa baada ya miezi tisa???
impeachment?? hapo nshajua huelewi maana ya hlo nenoWatu washamzoea Rais anaogopa kukwea pipa akihofia impeachment hovyoo kabisa . Rais wa ajabu kuwahi kutokea . Damn
Sasa mbona unajihami???Eti ulipataga ubuyu...ubuyu gani?
Hakuna anijuaye humu mimi.
Ulivyo juhaa si ajabu ulipewa ushuzi ukaambiwa ni ubuyu nawe ukakubali.
Hakuna anayenizidi ujanja humu. Hakuna anijuaye. Na hilo nina uhakika nalo.
Teh teh teh kumbe nakukeraga eeh...
Safi sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] boss lady,my ribs [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hehehe usitaftie ban bure ! hehehe le bosslady
Sasa mbona unajihami???
MBITIYAZA shoga ako kaona sina muda nae kaamue aingilie maongezi yetu.eti ndio ujanja anao jisifia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ujanja my ass. Hebu nipite mie...mbiti kama kuna Uzi wa kunirekebishia mood huko nitag buana.
Halafu umeona akili Mingi Lissu anapelekwa marekani kutibiwa???
Uliza vizuri...kuna Uzi kautafute huko utaelewaAnaishi Magomeni mitaa ya Bibi nyau
Ngabu bhuana, huko nyuma haukua hivi
Sikujizaa.
Kamwulize aliyenizaa.
Sasa mbona unajihami???
MBITIYAZA shoga ako kaona sina muda nae kaamue aingilie maongezi yetu.eti ndio ujanja anao jisifia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ujanja my ass. Hebu nipite mie...mbiti kama kuna Uzi wa kunirekebishia mood huko nitag buana.
Halafu umeona akili Mingi Lissu anapelekwa marekani kutibiwa???
Mnacheka kama mazuri hayo!Hahaha ....
Nitakosea nikisema ww ni wasted sperm???
Sasa mbona unajihami???
MBITIYAZA shoga ako kaona sina muda nae kaamue aingilie maongezi yetu.eti ndio ujanja anao jisifia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ujanja my ass. Hebu nipite mie...mbiti kama kuna Uzi wa kunirekebishia mood huko nitag buana.
Halafu umeona akili Mingi Lissu anapelekwa marekani kutibiwa???
Lazima azeeke, Magogoni si mchezo pale. Kila zengwe linaishia pale.Hana lolote yule . Alafu dizaini kama jamaa anazeeka kwa spidi ya jet.
pyee roho mby uliyonayo unahis km unalipwa tuachieni LISSU WETU TAFADHAR ! CCM MITIBIENI KWANZA NDUGAI MAGONJWA YAKE